lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
siyo kweli kiba kama kiba individual hajawahi kutoa Wimbo na R kelly ila kuna project ya One8 kiba na yeye aliimba walikuwepo wasanii lukuki akiwemo 2face, Amani....Diamond anajua kuimba na kucheza kiba anasauti ambayo wengi wanaipenda ila hajui kucheza na kutunga nyimbo kulingana na mziki ulipofika..... Dangote yupo far from kiba... that is it....
That's all!mkuu mziki ni sauti na message
Worry out GANG.King yuko na mipango ya ukweli this time.Tulia.....mambo mazuri yako njiani.ok well...
kwa mlio karibu nae plz mshaurini Dogo apande zaidi na aangalie soko la kimataifa sasa...
ile nafasi ya kufanya kazi na R- Kelly aitafute tena au atafute chance nyengine za kujitambulisha.
aking'ang'ana hapahapa yatamkuta yaliowakuta akina Ferooz na wengi...coz wengi leo wapo chali na walivuma ile kinoma, jirushe kiakili kabla line light yako haijazima
siyo kweli kiba kama kiba individual hajawahi kutoa Wimbo na R kelly ila kuna project ya One8 kiba na yeye aliimba walikuwepo wasanii lukuki akiwemo 2face, Amani....Diamond anajua kuimba na kucheza kiba anasauti ambayo wengi wanaipenda ila hajui kucheza na kutunga nyimbo kulingana na mziki ulipofika..... Dangote yupo far from kiba... that is it....
Mwenzake kaonyesha bafu la magold na flat screen ndani, mwambieni king naye tuone lake
Kwani niulize wahjuaje wa mziki,ivi mziki ni kucheza? maneno yakwenye mziki,sauti ya muimbaji au ujumbe anaotoa? kipi muhimu?
That's all!
Achana na hao wanaosema ooh hajui kucheza.Kwani mwanamuziki lazima awe dancer? Ingekua hivyo basi kusingekua na maana ya kua na dancers.
siyo kweli kiba kama kiba individual hajawahi kutoa Wimbo na R kelly ila kuna project ya One8 kiba na yeye aliimba walikuwepo wasanii lukuki akiwemo 2face, Amani....Diamond anajua kuimba na kucheza kiba anasauti ambayo wengi wanaipenda ila hajui kucheza na kutunga nyimbo kulingana na mziki ulipofika..... Dangote yupo far from kiba... that is it....
Mwenzake kaonyesha bafu la magold na flat screen ndani, mwambieni king naye tuone lake
Mwenzake kaonyesha bafu la magold na flat screen ndani, mwambieni king naye tuone lake
Hahahahhhaaa nahisi kaka kiba hana tu cha kuonesha ndo mana anasingizia ni dharau kwa mashabik wakat haohao mashabik ndo siku hz wanataka sana kujua wasanii wao wanainvest kias gan kwenye mziki wao.poor him

Ally alishasema hawez kuonesha mafanikio yake kwasababu itakua ni kama dharau kwa mashabiki wake ambao asilimia kubwa ni masikini..
Akatolea mfano,shabiki anatumia mwezi mzma kujichanga ili apate efu10 ya kiingilio kwenye show aje akuone msanii anaekupenda,mwezi mmoja baadae unaonesha gari la milioni50 alaf unajisifu,unadhani atajisikia vipi..
Kimsingi tofauti ya hawa watu ni malezi..
Inaelekea diamond kalelewa ovyo na mzazi wake ndio maana hajui kipi kifanywe kwa uwazi na kipi kifanywe kisiri..
Ndio maana utakuta mamake yupo na wema kama mkwe wake,mwezi mmoja baadae yupo na penny kama mkwe wake,mwezi unaofuata yupo na jokate baada ya mda kidogo anasafiri kwenda south africa na Zari..
Just imagine ni mama gani mwenye maadili ambae atakubali uwe unabadilisha wasichana ovyo mbele yake na kumtambulisha.?
Lakin kwa kiba ni tofauti,..
Tokea juzi najionea maajabu huku JF.Midume mizima bila aibu inakaa inashangilia nyumba ya mwanaume mwenzao ambayo hawajui kaipataje.Ni mwendawazimu pekee atakayeamini kua nyumba zile zinatokana na mapato yake kimuziki.
Mwanaume unakaa kushangilia nyumba ya mwanaume mwenzio? Bora kusifia kidogo inaleta maana.
This is shame!

Kushangilia nyumba ya national icon sio vibaya ... Ilitakiwa itangazwe hata siku ya mapumziko