Wamemuomba asichukue kipande kikubwa
Acha kabisa. Mimi hua sisikilizi sehemu nyingine tofauti na pale kwa King...Speaking of 'msambinungwa', alifunikaje sasa weee hapana chezea King!
Hahahaaa, nimecheka sana.Akichukua kipande kikubwa tutasahau kama wimbo ni wa Tunda...Wamemuomba asichukue kipande kikubwa
hata akitoa dakika moja, kwa King ni mistake lazima ajute!Hahahaaa, nimecheka sana.Akichukua kipande kikubwa tutasahau kama wimbo ni wa Tunda...
Acha kabisa. Mimi hua sisikilizi sehemu nyingine tofauti na pale kwa King...
Labdaaa ndo yule.....
Ah, the guy is talented.
Hahahaaa, nimecheka sana.Akichukua kipande kikubwa tutasahau kama wimbo ni wa Tunda...
Naadimika si kwa kutaka atoto, maisha ndiyo yanayonigaragaza na kuninyima fursa ya kuwapo hapa kwa wakati muafaka ingawaje sidhani hata kama nikijieleza huyu Ms.Lincoln anaweza kunielewa! In short, huu ni msimu wa kilimo na Kanjibhai kama walivyo matapeli wengine, anajifanya nae ni msambazaji wa mbegu bora za pamba kanda ya ziwa nami ni mmoja wa maboi wake tunaokuwa kwenye msafara wa kusambaza mbegu hizo!We nawe unaadimika mno kama miguu ya nyoka!! Ndio maana wajanja wanakuwahi
Sipati picha siku atakayoamua kufanya shoo na huo wimbo halafu Kiba nae ndo aimbe kipande chake. I swear, Tundaman hatakuja kuimba na Kiba hata siku moja jukwaani na huo wimbo manake shangwe zote zitakuwa kwa mgeni mwalikwa.Hahahaaa, nimecheka sana.Akichukua kipande kikubwa tutasahau kama wimbo ni wa Tunda...
Sipati picha siku atakayoamua kufanya shoo na huo wimbo halafu Kiba nae ndo aimbe kipande chake. I swear, Tundaman hatakuja kuimba na Kiba hata siku moja jukwaani na huo wimbo manake shangwe zote zitakuwa kwa mgeni mwalikwa.
Naadimika si kwa kutaka atoto, maisha ndiyo yanayonigaragaza na kuninyima fursa ya kuwapo hapa kwa wakati muafaka ingawaje sidhani hata kama nikijieleza huyu Ms.Lincoln anaweza kunielewa! In short, huu ni msimu wa kilimo na Kanjibhai kama walivyo matapeli wengine, anajifanya nae ni msambazaji wa mbegu bora za pamba kanda ya ziwa nami ni mmoja wa maboi wake tunaokuwa kwenye msafara wa kusambaza mbegu hizo!
Mambo? Jamani Tunda ashawahi kuimba na Kiba bwanaaa
Acha kabisa. Mimi hua sisikilizi sehemu nyingine tofauti na pale kwa King...
Labdaaa ndo yule.....
Ah, the guy is talented.
kwa kweli anayejua anajua tu na mwenye kipaji muache anatisha. tangu king kiba atoe mipini miwili hatari yaani.mwana dar es salaam na cheketua uku mjini hali imechafuka wale waliojifanya wanajua wote kimyaaaa... maana mwenyewe karudi. hakuna cha ndomo wala sijui nani. jamaa katoa somo la maana. safi sana kiba
Ukikamia maji huwezi kuyanywa Diamond yupo level za kimataifa na siyo Bongo tena.... Hana mda na Kiba.....
siyo kweli kiba kama kiba individual hajawahi kutoa Wimbo na R kelly ila kuna project ya One8 kiba na yeye aliimba walikuwepo wasanii lukuki akiwemo 2face, Amani....Diamond anajua kuimba na kucheza kiba anasauti ambayo wengi wanaipenda ila hajui kucheza na kutunga nyimbo kulingana na mziki ulipofika..... Dangote yupo far from kiba... that is it....Mkuu unajua kiba alitoa wimbo na r.kelly