huyo kiba ni mwanamuziki.....wenzake katika misafara yao ya show kundi la watu kumi na kitu unakuta lina kaka mtu,shemeji,mama,mameneja watatu,mganga humuhumo kwenye msafara,wapiga picha na wacheza show saba!yaani msafara unajaa watu ambao si wa mziki.......ila yeye sasa mfalme msafara wake dah!sijui mpiga guitar,mpiga drum,fundi mitambo sijui nani yaani msafara full watu wa mziki!...........anachokifanya kiba sasa baada ya kuona watu wameelewa nini maana ya bongo flavour kwa somo alilolitoa kwa kutoa ngoma kadhaa,sasa ameanza kutoa somo la nini maana ya mziki na mwanamuziki kwa vitendo anavyovifanya!........akimaliza somo hilo ataendelea na somo la nini maana ya mwanamuziki wa kimaifa kwa vitendo pia!........yeye siyo mtu wa maneno ni vitendo tu
mziki ni kama chakula mkuu....kama wewe unaona magimbi matamu kuliko mishaki ya samaki ya kawe beach mimi siwezi kukulazimisha uone mishakaki mitamu kuliko magimbi...!!!sasa kama wewe ngoma mpya ya kiba unaiona ya kawaida sidhan kama unajua mziki mzuri ni upi!.......!!!ila kwa kukusaidia kama wewe ni mtu wa mziki au unajuana na watu wa mziki hususani ma dj,waulize sasa hivi ngoma gani inaongoza kwa kuombwa redioni ipigwe!au kama clubs waulize ma dj ngoma gani wakipiga dancing floor inatapika na viti vinabaki wazi au ngoma gani inawaongezea offer za bia ma dj......hapo sijakuhesabia ngoma imetoka lini na tour kaanza lini lakini watu wanaijua utasema ya kitamboMhh sisi yetu macho. Ulituambia anakuja na video amazing haijawai tokea, tukaiona. Ukatuambia anakuja na wimbo mzuri ajabu, tumeisikia hiyo cheketua. Leo unatuambia alifanya show balaa pale triple A ingawa tulikuwepo, ila wacha tukusikilize wewe mkuu. Poa tunasubiria vingine vinavyokuja,haswa hilo la kimataifa.
mziki ni kama chakula mkuu....kama wewe unaona magimbi matamu kuliko mishaki ya samaki ya kawe beach mimi siwezi kukulazimisha uone mishakaki mitamu kuliko magimbi...!!!sasa kama wewe ngoma mpya ya kiba unaiona ya kawaida sidhan kama unajua mziki mzuri ni upi!.......!!!ila kwa kukusaidia kama wewe ni mtu wa mziki au unajuana na watu wa mziki hususani ma dj,waulize sasa hivi ngoma gani inaongoza kwa kuombwa redioni ipigwe!au kama clubs waulize ma dj ngoma gani wakipiga dancing floor inatapika na viti vinabaki wazi au ngoma gani inawaongezea offer za bia ma dj......hapo sijakuhesabia ngoma imetoka lini na tour kaanza lini lakini watu wanaijua utasema ya kitambo
Yaani leo jioni yangu maridhawaaaa kwa nyimbo za the super king, najihisi princess, wapi nifah mimi mithi wewe, mpe hi Ms.Lincoln
I miss you more darling. Zimefika bila shaka....
Wewe unajiona princess leo? Mimi zamaani. Na kwa msisitizo nikisikiliza nafumba macho kabisa...lol
Pop it in Kingkiba
Eti nini? Hizo nchi za Rwanda, Congo n.k ni macho yangu au? Juzikati hapo kuna wajinga walianzisha thread eti King Kiba ni 'underground' coz anafanya show za ndani...
Kumbe King kajipanga kufanya yake...
Pop it in. ...
Mmmmh, kwa hiyo sisi wengine hatustahili jamani?
Haya bwana watu na King wao ..
Wewe mama si ni mtoto wa ufalmeni? So hapo unahusika kwa asilimia zote
Eti nini? Hizo nchi za Rwanda, Congo n.k ni macho yangu au? Juzikati hapo kuna wajinga walianzisha thread eti King Kiba ni 'underground' coz anafanya show za ndani...
Kumbe King kajipanga kufanya yake...
Pop it in. ...
Hivi wale wachimba chumvi wanakuumizaga kichwa!!!
Waache wajifariji tu
Kwahiyo ukifanya show ndani ya nchi yako we ni underground?
Mi napita kama upepo kwenye thread zilizoandikwa na watu wanaohitaji mind liberation
Hahahaaa, abou umenichekesha sana.Kweli kuna watu wanaudhi sana usipokua makini utakula ban kila wakati.
Nilichoka nikawaacha tu wajifariji kwa ujinga wao.
Pop it in Kingkiba
Kuna mmoja nilibishana nae nikakoswa na ban mpaka leo napitaga tu