Mdakuzi ukuje uone mkeo alivopagawishwa sijui ndo ushamdedicate! Wallahii ukiimbiwa huu wimbo hata kama wewe mdogo kama pirton utajiona mkubwa kama maghorofa ya hongkong!
Le superlawyer naona mapigo ya moyo yanakuendea kombo hikutarajia jiwe kali namna hii....sidhani kama kampeni yako itazaa matunda unayotarajia...by the way welcome to the royal family
Le superlawyer naona mapigo ya moyo yanakuendea kombo hikutarajia jiwe kali namna hii....sidhani kama kampeni yako itazaa matunda unayotarajia...by the way welcome yo tje royal family