el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,065 Feb 27, 2015 #8,121 Mwizi wa beat🏃🏃🏃🏃🏃
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,122 peterchoka said: ali kiba katika ubora wake, siamini yaani siamini wimbo umenipanda kichwani Click to expand... Bora wewe! Yaani mimi kanitia wazimu hapa sijielewi kabisa.Akhsante King Kiba.
peterchoka said: ali kiba katika ubora wake, siamini yaani siamini wimbo umenipanda kichwani Click to expand... Bora wewe! Yaani mimi kanitia wazimu hapa sijielewi kabisa.Akhsante King Kiba.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,123 mnyepe said: Hahaha nyimbo ni nzuri sana...ataisikia tu kwenye daladala, bodaboda, mitaani kila akipita. Click to expand... Sana tena sana.Leo kuna watu watatundikiwa dripu huko tandale..lol
mnyepe said: Hahaha nyimbo ni nzuri sana...ataisikia tu kwenye daladala, bodaboda, mitaani kila akipita. Click to expand... Sana tena sana.Leo kuna watu watatundikiwa dripu huko tandale..lol
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,124 el nino said: Mwizi wa beat🏃🏃🏃🏃🏃 Click to expand... Kwendraaa MNAFIKI mkubwa wewe.Huonekani hadi Kiba atoe wimbo.Una chuki kumshinda shetani 😡😡😡
el nino said: Mwizi wa beat🏃🏃🏃🏃🏃 Click to expand... Kwendraaa MNAFIKI mkubwa wewe.Huonekani hadi Kiba atoe wimbo.Una chuki kumshinda shetani 😡😡😡
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,065 Feb 27, 2015 #8,125 nifah said: Kwendraaa MNAFIKI mkubwa wewe.Huonekani hadi Kiba atoe wimbo.Una chuki kumshinda shetani 😡😡😡 Click to expand... Kutoonekana kwangu hakubadilishi ukweli ally ameiba beat
nifah said: Kwendraaa MNAFIKI mkubwa wewe.Huonekani hadi Kiba atoe wimbo.Una chuki kumshinda shetani 😡😡😡 Click to expand... Kutoonekana kwangu hakubadilishi ukweli ally ameiba beat
255mkombozi Senior Member Joined Apr 25, 2013 Posts 106 Reaction score 13 Feb 27, 2015 #8,126 Kibaaa ila co mbaya
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,127 el nino said: Kutoonekana kwangu hakubadilishi ukweli ally ameiba beat Click to expand... Usinipotezee muda mie....ngoja nichekeche zangu!
el nino said: Kutoonekana kwangu hakubadilishi ukweli ally ameiba beat Click to expand... Usinipotezee muda mie....ngoja nichekeche zangu!
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 660 Feb 27, 2015 #8,128 nifah said: Sana tena sana.Leo kuna watu watatundikiwa dripu huko tandale..lol Click to expand... Hahaha na wafweeee ***** zao
nifah said: Sana tena sana.Leo kuna watu watatundikiwa dripu huko tandale..lol Click to expand... Hahaha na wafweeee ***** zao
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 660 Feb 27, 2015 #8,129 el nino said: Kutoonekana kwangu hakubadilishi ukweli ally ameiba beat Click to expand... Huku umealikwa au unafki tu. Hizi tabia za kishoga.
el nino said: Kutoonekana kwangu hakubadilishi ukweli ally ameiba beat Click to expand... Huku umealikwa au unafki tu. Hizi tabia za kishoga.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,130 mnyepe said: Hahaha na wafweeee ***** zao Click to expand... Hahahaaa. .. mnyepe u kill me! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,131 mnyepe said: Huku umealikwa au unafki tu. Hizi tabia za kishoga. Click to expand... Hahahaaa, umeona eeh? Leo Matola na Michael Sijui wako wapi! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mnyepe said: Huku umealikwa au unafki tu. Hizi tabia za kishoga. Click to expand... Hahahaaa, umeona eeh? Leo Matola na Michael Sijui wako wapi!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Feb 27, 2015 #8,132 nifah said: Sijafanikiwa kumkuta live ila wimbo nimeshausikiliza mzuri sana. Click to expand... nifah mpz nimepitwa, i was soooo busy today, shame on me cjauckiliza huo wimbo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nifah said: Sijafanikiwa kumkuta live ila wimbo nimeshausikiliza mzuri sana. Click to expand... nifah mpz nimepitwa, i was soooo busy today, shame on me cjauckiliza huo wimbo
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Feb 27, 2015 #8,133 nifah said: Hahahaaa. .. mnyepe u kill me! Click to expand... huyo mwanga kaibukia wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,682 Feb 27, 2015 #8,134 kiba kashindikana ana anzisha alipo ishia " he is a king for real "
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Feb 27, 2015 #8,135 Jamani habari yenu humu?
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Feb 27, 2015 #8,136 atoto said: huyo mwanga kaibukia wapi? Click to expand... Teh Teh mtani habari za siku.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,137 atoto said: nifah mpz nimepitwa, i was soooo busy today, shame on me cjauckiliza huo wimbo Click to expand... I miss you my love...but u dissapoint me....trust me! Sio mbaya as long as u are here now.Kuna sehemu nimekumention nenda kausikilize ninavyokujua leo utakua mwendawazimu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
atoto said: nifah mpz nimepitwa, i was soooo busy today, shame on me cjauckiliza huo wimbo Click to expand... I miss you my love...but u dissapoint me....trust me! Sio mbaya as long as u are here now.Kuna sehemu nimekumention nenda kausikilize ninavyokujua leo utakua mwendawazimu!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,488 Reaction score 176,550 Feb 27, 2015 #8,138 ukikaidi utapigwa2 said: kiba kashindikana ana anzisha alipo ishia " he is a king for real " Click to expand... unatumia kinywaji gani tafadhali?
ukikaidi utapigwa2 said: kiba kashindikana ana anzisha alipo ishia " he is a king for real " Click to expand... unatumia kinywaji gani tafadhali?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,139 atoto mimi leo nimeahirisha kazi zangu zote kuanzia saa 7 mchana kwa ajili ya King Kiba! How much I like him? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
atoto mimi leo nimeahirisha kazi zangu zote kuanzia saa 7 mchana kwa ajili ya King Kiba! How much I like him?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 27, 2015 #8,140 ukikaidi utapigwa2 said: kiba kashindikana ana anzisha alipo ishia " he is a king for real " Click to expand... Hatariiii, huyu mtu hafai kabisa!
ukikaidi utapigwa2 said: kiba kashindikana ana anzisha alipo ishia " he is a king for real " Click to expand... Hatariiii, huyu mtu hafai kabisa!