dah matumbo yani amekerekwa mpaka anatia huruma
achana nao vishtobe walee
matumbo hana tofauti na T.I.D kwa kujifanya kila kitu wanajua wao!
hamna wimbo hapo.., nimesikia tu , dole dole dole gumba, mifasolatido., afu ananena kwa lugha sijui.
POLE ALI KIBA
Hahahaaa karibu sana.
Ova
kitu kinaitwa "wife wa dunia"
hebu nawe urudi duniani!! umejifukia wapi???
Teh Teh mtani happy Alhamisi
teh teh teh!! happy to you too.
hamna wimbo hapo.., nimesikia tu , dole dole dole gumba, mifasolatido., afu ananena kwa lugha sijui.
POLE ALI KIBA
Mdakuzi huwa unajitahidi kweli kuwaelewesha hawa watu ila vichwa kama vifuu hataaa hawaelewi, ni bora kuwapuuza tu, sio kosa lao.Hahahahahaaa! Mkuu kama kitu hujui uliza tu bila kukejeli. Hicho ulichokisikia anakiimba King Kiba katika wife wa dunia sio kunena kwa lugha ila zinaitwa nota.
Kwa wwaliosomea muziki wanajua nota ni nini, ambazo ni zile alama fulani hivi. Sasa alichofanya King Kiba ni kutaja nota alizotumia kuimba wimbo wake.
Na kupitia ile ametuonesha kuwa yeye amesomea muziki, hajiimbii tu kwa kutegemea kipaji peke yake.
Isitoshe, wimbo wa Wife wa Dunia ni moja ya nyimbo za King Kiba zilizovuja kabla hajazikamilisha kabisa, hata hivyo ni wimbo mzuri sana.
Ova
Teh Teh ni kweli amenena kwa lugha?
Tuwasaidie tu hawa mpwa, iko siku moja watakiri kuwa tuliwahi kuwatoa ujinga siku moja.
Ova
naomba nikupuuze mtani.