uwiii nifah Ms.Lincoln geniveros njooni muone hizi good news!! hasante abou usingizi wangu leo utakuwa mtamamuu ngoja niusindikize na wife wa dunia
Kiba katisha.Haters Keep calm its kiba's time
Pop it in
kuna post kule bestttttt
nna raha hatariiiii
Kiba katisha.
woyooooooooooooooooooooook
mmmmmwwwwwwwaaaaaahhhhhh
shiiiiidaaaasaaaaaaaaaaWoyooooo! King Changamka acha kabisa uzembe this time! Dole dole....dole gumba...dole!
mbona kimya humu? mzima wewe?Hahahaaaa msaga sumu ni mfalme wa uswahilini huko kwenye vigodoro....
Umenifurahisha eti nampenda Kiba shabiki wa damu!
Ms.Lincoln, upo poa wangu?Thread ganiii....upo na seep mawazuuu...
mbona tamathali za semi nyingi! mara shemeji mara wife wa dunia, hebu nifafanulie bwana sie wengine ni bongo lala.mie niadimike humu si nitaumwa kabisa!! mie niko poa, tatizo nawe km konokono we endelea kuzubaa hivyo hivyo shemeji!!
hebu sikiliza wife wa dunia kwanza
Ms.Lincoln, upo poa wangu?
mbona tamathali za semi nyingi! mara shemeji mara wife wa dunia, hebu nifafanulie bwana sie wengine ni bongo lala.
yaani nikuangushe wewe? hebu muogope mungu bwana kwa sababu unajua kwamba sio kweli.Unaniangusha ujue!
nimefurahi kwamba upo poa. sionekani ndo vile tena pilika manake sie wengine ukiumwa siku moja tu siku ya pili hata hela ya maandazi itabid ukamwangukie mwenyekiti wa kitongoji.Mambo...sijambo! Huonekani, umeisikia hii ngoma kalii..