DIAMONDS ARE SHINE IN THE INDUSTRY MUSIC IN THE WORLD AGREE OR NOT IN TANZANIA COUNTRY.teamwasafi,teamdmond,teamplatinumz,teamchibu,teamdiamond,teamdangote,teamzarimond.DIAMOND PLATNUMZ THE NEW BIG BOSS.
Ivi huyu mbumbumbu mnamwelewa au ni mimi tu?
Doleee...dole..dole...dole gumba doleee!yeye mwenyewe hajielewi, unadhani wewe utamuelewa!!!
yeye mwenyewe hajielewi, unadhani wewe utamuelewa!!!
Ms.Lincoln how are youuuuuu, mimi mithi wewe, naona ni mwendo wa 'wife wa dunia' tu doleeee...... wapi nifah Avemaria abouDoleee...dole..dole...dole gumba doleee!
ata mi sielewi kweli alikiba msanii.mtaumia roho na chuki binafsi. NI MWENDO WA VIPARA.
Wewe ongea hapa uwanja wako.
Wewe ongea hapa uwanja wako.
Ms.Lincoln how are youuuuuu, mimi mithi wewe, naona ni mwendo wa 'wife wa dunia' tu doleeee...... wapi nifah Avemaria abou
ata mi sielewi kweli alikiba msanii.mtaumia roho na chuki binafsi. NI MWENDO WA VIPARA.
DIAMOND PLATINUMZ changes the artists in tanganyika-zanzibar,one of them ali kiba kutoa kampuni moja na DIAMOND PLATINUMZ ya GODFATHER.kwani ali kiba hakuiona kampuni nyengne ambao inayofanya vizuri uko sauz-afrika kuipita ya GODFATHER while akijua kwamba WCB THE TEAM na yeye hawapatani? nanyi teamkiba hamulioni hilo? DIAMOND PLATINUMZ anaweza na anakubalika KIMATAIFA.
na ndo maana umeitwa JAMIIFORUM hujui manake? WCB THE NEW BIG BOSS.
na ndo maana umeitwa JAMIIFORUM hujui manake? WCB THE NEW BIG BOSS.
Mbona jamaa anatumia nguvu sana ilhali wenzie wapo kule kwao wanajidai?
hhhhhaaayyyyaaa tumekusikia
tupe id yako ya zamani bassss
hii mpya nakuona km hujiamini vile!
kama Huna La Kureply Kapike Maharage. alikiba Akapike Ugali. DIAMONDS ARE FOREVER.
Mpenzi miss u
miss you too honey, xo xo xo xo
Umeulizwa swali umeanza kujiuma uma hapa. Watu wenye ID's nyingi tunajua tabia zenu mkifika kwenye thread hii huwa mnajitoa akili kabisa kwa ID's zenu za akiba.
Mpwa geniveros naomba nimsaidie kujibu huyu jamaa, ID's zake nyingine ni falsafa hai, mwanafalsafa1, jingalafalsafa, mwanafalsafa na hiyo Falsafa anayotumia kufanyia ubishi hapa.
Ova
Anataka attention afu wala amekuta tuna furaha na 'Muke ya Dunia" tunamwona lafa tu