Yalosemwa jana yamejirudia yayaaaaa...
Unalia nini mwenzako nshajenga nyumba,ya kuishi sisi wawili tujenge tuwe na family....
Waache wayaseme wewe leo uko na mimi,na tule hizi raha tusahau ya duniani...
Aisee huu wimbo ni kiboko!Naupenda mpaka basi,hapa tu nausikiliza.....
Thanks King Kiba.