Sana.King yupo vizuri sasa thou anakuwa kimya sana kumbe ana project zake kibao za maana anatusurprise tu dadadeki...
Hapendi kuanika mambo yake kama mwafulani...
ngoja niende tuition nitakuimbia mama
huyo ndio mwanaume wa kweli(teh teh)
alafu kuna hiyo 'wife wa dunia' nimeipakua hulkshare mzuri huo
Mimi sipendi kupakua ngoma huko basi tu.Hata mkito hua naingia sababu ya King tu.
Ungeweza kutuwekea link hapa ingekua poa sana.
aisee ndo nausikiliza leo,wimbo mtamu sana.... atoto huu hapa
yaani mtamu sana, Kiba kweli ni fundi, alafu inasemekana ni wimbo wa muda mrefu na ulivuja tokea mwaka jana
Sijaona hata wimbo mmoja mbaya wa kiba,sauti huwa inamkubali sana
aisee ndo nausikiliza leo,wimbo mtamu sana.... atoto huu hapa
yaani mtamu sana, Kiba kweli ni fundi, alafu inasemekana ni wimbo wa muda mrefu na ulivuja tokea mwaka jana
Kumbe?mimi sina hata habari!
Haya ngoja niusikilize nitakupa feedback muda si mrefu.
Sijaona hata wimbo mmoja mbaya wa kiba,sauti huwa inamkubali sana
King ni fundi haswaaaaa
Mimi tu na uzembe wangu hua simuambii anifundishe.Siku nikikumbuka nitamuambia mama.