tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Umeona eeh?Mimi nimesikia kamwaga mapesa nikadhani ni madolari au misimbazi kumbe buku 2?...
Tulia mama.Wewe jiulize balaa lote hili ni jiwe la mwana tu.Akiangusha jingine si tutaweka msiba?
Bamba to bampa...
Pop it in....
Zoom hiyo picha angalia hiyo bundle vizuri ni buku2 tena bundle iko half so ni laki 5,amekuna mkono unapofikia pia ahamie kwenye mjengo wke 2015
hapana mama, mie nilikuita weeee ukanichunia sasa cjui ni maproject yanakubana!! maana mmefichana hatari, Kiba na tuzo yake ya refio one ila anakaba watu mbele na nyuma, hahahaaaaa!!!
mweee dunia ina mambo hii, kiba anipe tu raha niongeze cku za kuishi niendelee kushuhudia haya mambo ya dunia!
Watauwana nini mpenzi muonee huruma mtoto wa tandale kavunja kibubu kuhonga mashabiki!
I miss you dear...
Eti jamani!Ndomo anajua fika kua King sio saizi yake.Hadi ikabidi apunguze ile 'bilioni' kwenda kununua shangwe unafanya mchezo?
nifah naomba ufafanuzi juu ya hili maana km sijawapatapata hapa!!Waganda ni wauza sembe kitambo sasa jamaa yenu kapanda n bundle la buku2 ambalo hata halifiki laki 5 kugawa.huwezi chop tsh kma uko n mkwanja $ ndio mpango mzima
atoto hiki kitu nakisema kila siku.Ngoma ya mwana ndio wimbo bora kabisa kwa mwaka huu.Hakuna mwingine wa kuufananisha au kushindanisha nao.ila kiba mwacheni tu jamani, ngoma moja tu imetoka lini sijui lkn bado inaleta shida balaaa!! mie natamani hata ingefanyiwa remix amshirikishe kichwa mwingine azidi kuupa uhai, capital bado ni namba moja tu!!! hii ngoma nyie acheni tu its the song of the year
Hahahaaaa pole yake.Na bado mkopo wa mil.10 hajalipa!
yaani dah haya mambo yanakoelekea sio maana daah mi naona watauwana hawa
wakubali wakatae ila ukweli ni kuwa kiba anamnyima sana ucngizi huyu jamaa!!! walaaa hajawahi jilinganisha nae ila wao kutwa kumlinganisha nae, ss si wanasema ye msanii wa kimataifa sasa kwann msanii wa kitongoji awanyime ucngizi!!!
hahahaaaaa!! uwiii nacheka km mazuri vile! ila acheni tu nimpende kiba i hv all reasons in the world, dont ask me! teh teh teh
Oh,nilishtuka kidogo mwaya bora sasa.Mnhhh wewe mbona una maproject yako mimi sisemi?unadhani sijui eeh?Poleeee
Wewe pia umepotea sana hapa.
Saana tu.....
Pop it in....
nifah naomba ufafanuzi juu ya hili maana km sijawapatapata hapa!!
Hiyo y mkopo ni uwongo tu 10m kwake ni kidogo cz anafanya kazi kadinda amekanusha.hata kma domo hana hela hawezi mtumia wema amkopee mana bidada hana siri atabwabwaja
atoto hiki kitu nakisema kila siku.Ngoma ya mwana ndio wimbo bora kabisa kwa mwaka huu.Hakuna mwingine wa kuufananisha au kushindanisha nao.
Kill music tutazichota za kufa mtu....
Pop it in....
atoto hiki kitu nakisema kila siku.Ngoma ya mwana ndio wimbo bora kabisa kwa mwaka huu.Hakuna mwingine wa kuufananisha au kushindanisha nao.
Kill music tutazichota za kufa mtu....
Pop it in....
whaaat!!! dont say that jamani, mi napenda wote waendelee kuwepo tena kwa amani zaidi, washindane kwa vipaji vyao tu ila sio wafikie huko jamani!!! God forbid!!! Aimen.