Jamani ebu weka tena caption ya king Lawrence!Mbuzi umechinja,umejinyeanyea pressure ya Kiba bado na buku mbili umegawa!unamgwaya Kiba mpaka unaumwa!
huwa najiuliza sana swali km lako Ms.Lincoln hivi why wanamuhofia sn king?? tz kuna wasanii lukuki ila kiba tu ndio anawakaba koo!!! why why why why??? naanza kupata majibu, Kibaaaaa waue baba na bado, na tuzo yetu ya radio one walaaa hatuna shida ni shangwe tu kwa kwenda mbele, am happy kwakweli to be Kiba's fan no mata wht, kiroho saaaaaaaafi!
Bampa to bampa!King naye avunje ukimya basi arudishe heshima!!Kwa raha zetu.Kuna tatizo gani?
Pop it in.....
Penda sana King mimi.
Kwi kwi kwi!We do it in dollars bora kupiga kimya!nna mashaka na zile pessa kam sio za matambiko
Ndomo anamhofia sana Kiba,sijui kwanini?
Bampa to bampa!King naye avunje ukimya basi arudishe heshima!!
kwani unadhani yeye mjinga kwamba haujui ule uwezo wa king???
ni mwendawazimu tu hawezi muhofia, yaani ninavyozisubiri hizo bampa to bampa mpaka naumwa, Kiba bwana mie penda wewe miaka mia.
Uyu jamaa ukinambia ni dereva nakataa kwasabbu anagawa sana pesa tena kwa dollars
Kwa raha zetu.Kuna tatizo gani?
Pop it in.....
Penda sana King mimi.
Kwi kwi kwi!We do it in dollars bora kupiga kimya!nna mashaka na zile pessa kam sio za matambiko
Hiyo picha mbna ni buku2 mbili kma laki5 ila huwezi chop buku 2 ni heri ingekua teniteni au $
tena ndio mapenzi juu yake yanapamba moto ati!
yaani dah haya mambo yanakoelekea sio maana daah mi naona watauwana hawa