Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wallah kwa aibu na udhaifu ule aliounesha ndomo jana,angekua King ndio kafanya vile nisingeingia humu JF wiki nzima!Kwanini amwage pesa kama anajiamini?
Hivi anadhani pesa zinaweza kununua furaha?Masikini Chibu!
Kumbe Kiba anamtisha kiasi cha kumwaga madolari jukwaani?So sad....
 

King awez Fanya ujinga now yupo kunduchi kwenye hekalu lake muache amwage na aendelee kuishi Jikoni sinza
 
Hahahaaaaaaa uwiiiiiiii
Leo umeniamulia wallah!

Sasa bi Dada meneja mwenye akili anapost vp ujinga kama huu baada ya kufunikwa !! Yy anauza poda mbona atumpost au anafikiri watu atujui
Anakuja na blaa blaa za kiganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…