Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kibba ana kipi cha kujadiliwa?maana vyote vimeisha1.watoto 3 kila mtoto na mama yake.imeshajadiliwa2.video ya mwana.imeshachuja na haina mvuto tena3.kushangiliwa sana fiesta.imeshajadiliwa
Hana jipya lakini kutwa kucha migulubaja yako haikauki huku, atleast ungeona haya dogo!Na Kiba mwaka huu atawajambisha sana na hiyo misuli yenu ya urithi!
 
I know it walifika leaders saa 5 ili wawah nafac za mbele

Ha ha ha kuna baadhi yao hawakupata chance yakuingia hapo.Yaani Diamond huku maeneo ya uswahilini kalisha watu mpunga then wameingia ktk coaster na kulipwa buku 5
 
Ha ha ha kuna baadhi yao hawakupata chance yakuingia hapo.Yaani Diamond huku maeneo ya uswahilini kalisha watu mpunga then wameingia ktk coaster na kulipwa buku 5

Khaa khaa ngoja tuone nani atazomewa pale kuna wabaya wake TeamWema wamejipanga vizuri
 
Ha ha ha yap......ila leo mishale ya saa 8 maeneo ya Kkoo nilikutana na baadhi ya vijana mitaa tofauttofaut wamevaa tshirt zimeandikws team kiba

Nakwambia kun kuzomeana inategemea nani ataanza kupanda on stage
 
mmmh!! hizo shida zote za nini sasa!! mweeh kaazi kwelikweli, kumbe kiba anawapa shida sana watu eti!!!! hashindani nao ila kuchwaa kumshindanisha na kumtafutia visa, wamwache afanye kwa nafasi yake as uwezo wote tunajua anao, sasa taabu ya nini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…