Hahahaaaa! Poleni jamani, nimekuwa na mwezi mgumu sana kikazi, mambo mengi na ni lazima yaishe mwezi huu, nifah anajua.
Lakini sipendi mnikose kabisa ndo maana najitahidi kuchungulia humu. Na nafurahi mnavyonikumbuka ndugu zangu.
Ova
Hahaaaaaaaa.....
Umemuona shoga ya Paula kilaki maneno aliyoyazungumza kule. Eti vimalaya vya Alikiba tupo identity zetu humu.....hahahaaaaa!! nilishangaa sana walomtetea siku ile eti kaitwa voda fasta!!
Umemuona shoga yako Paula kilaki maneno aliyoyazungumza kule. Eti vimalaya vya Alikiba tupo na identity zetu humu.....hahahaaaaa!! nilishangaa sana walomtetea siku ile eti kaitwa voda fasta!!
Nimeshindwa hata kuchangia chochote pale kuilinda heshima yangu.Siwezi kujivua nguo hadharani kwa kubishana na mwendawazimu.
Eti anaikomalia(na wapuuzi wenzie) issue ya Kiba kua na watoto watatu kwa mama tofauti!Ni nani aliyewahi kumuona King akifanya mambo ya kishenzi hadharani?Hili tu linatosha kwangu kumpa heshima yake Kiba.
Watoto sio jambo la ajabu,kitanda hakizai haramu!
Umemuona shoga yako Paula kilaki maneno aliyoyazungumza kule. Eti vimalaya vya Alikiba tupo na identity zetu humu.....hahahaaaaa!! nilishangaa sana walomtetea siku ile eti kaitwa voda fasta!!
hahaaaaa nifah mie Ms.Lincoln hata simuelewi, njoo unisaidie
Haha haaaa,jamani baby wangu yuko busy sana,nafasi anayoipata ya kuingia humu anaimalizia PM kunifariji.
Hata mimi namiss sana comments zake humu.Ila soon atarejea.
Haha haaaa,tumeshajibu vizuri tu.
Sisi tuko open sana.Kazi kwao wazee wa mafichoni...lol
hahahaaaaaa!!! nimemuona nikaamua kumpuuza!! cjui alimtaka kiba akamkataa basi stress zake anamalizia kwetu, mwache ajiridhishe.
hahahaaaa!!!! inawauma maana hata wa kusingiziwa wao hana na um...ya wote, he is shooting blank u know, teh teh teh!!!
nimemstahi sana aisee, nashukuru Mungu kwa kuwa kwenye kundi la wanaojitambua, Kiba's fans mimi penda nyinyi mingimingi
Wewe muache tu....yetu macho naona kuna kitu hakijakaa sawa.
Mimi sina shida sana maana Matola alishaniahidi kunitambulisha mambo yakishakaa sawa.
Kwa kweli nimeshindwa kabisa kumuelewa na wenzie.Walidhani tungeenda kujivua nguo pale.
Walitaka nini?tumponde King kwa kua na watoto?
Eti hatopata mke,ni mpuuzi pekee atakayeshindwa kuoa/kuolewa na ampendaye kisa watoto.
Wamesahau kua ukipenda boga.......
Nimeona,aisee that mama is so pathetic,alafu huwa anakuja motto akikutana na maji anaanza kulialia!!Wengine nao wanagogoseka tu kaMa walevi,haa!!kiba jaza ulimwengu achana na wanao ua wakwao!!Uwiiii...ushabiki tu mtu anajifanya kama ndomo ngugu yake!!amaa
ninavyosubiri kwa hamu sasa! duuuh jukwaa linanoga hiliiii
watu wamevumiliaaaa yakawashinda nao wameiga, chezea sisi wewe!!!!
Acha tu.Huu ushabiki watu wanajiona wameshakua akina Romy Jones au Esma!
Kiba ongeza na wengine 7 wafike 10 kabisa.
Kwani shida iko wapi?kuna aliyenung'unika kakosa matumizi?
Kwanza King wetu handsome vitoto vizurije sasa?Waacheni wanawake wajipatie zawadi ya watoto wazuri.
Huyo ndomo sipati picha wake watakuwaje!