Ali Kiba Fans' Special Thread...

hahaaaaa!!! yaani nilipoona kuwa ushaquote nikacheka kwa nguvuuu, alafu mwenyewe ulivyoitamka kwa mbwembwe sasa!!!

Haha haaaa,nitakua sikuamini tena...
Mamaa ya tango pori...lol
 
Haha haaaa,nitakua sikuamini tena...
Mamaa ya tango pori...lol

hahaaaaa!!! hapana bwana niamini tu, si unajua tena furaha ilizidi nikawa natyp kwa kimuhemuhe nikajikuta mekosea, chezea le King wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…