ukipenda ukapendwa jamani unaona dunia yote ni yako hata ukiwa na njaa unahisi kushiba tu, mapenzi matamu jamani(ila yasibadilike maana!!) eeeh Mungu awajaalie yaliyo kheri nifah na Mdakuzi iwe ni furaha tu na moyo wa kukabli kila misukosuko.

Na iwe hivyo Inshaallah kheri atoto wangu!
Naogopa sana yasijenibadilikia maana sijui nitafanya nini!
Hata hivyo najiamini nipo ktk mikono salama ya Mdakuzi....everything will be all right!