Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
- Thread starter
-
- #6,521
sakni huyu tapeli mbwia unga pale kinondoni namfahamu vema.. Anamdanganya mtu atatoa pesa ya kuandaa show wakati ada ya Mtoto wake inamshinda
Hahahahaha anaitwa matola wa JF... Kawakusanya wajinga hapa anawadanganyadanganya tu
Tapeli huyo alitaka kutumia jina la Kiba kuuza tishet apate hela za milungi.
Mshikaji maisha aya bado unaishi kama Yahaya! umri umekutupa shauri zako. Anza na mimi kwenye ignore list tafadhali.
Povuu kuliko omo, inbox kwangu pm zinazidi kufurika, maswali ni haya kama sijaoa kuna mrembo mwenye Tbs zake tayari ametangaza nia just now na la pili anataka kujuwa kama nina mtoto yaani yeye ndio anekufa kabisa maana ana uhakika anatoka na dume la mbegu na siyo na bora Mwanaume.
Nawashukuru sana my people kwa free promo, nimejifunza kitu kuhusu wanawake kama unamtaka kimapenzi usimponde mwenzako ndio unamuongezea max bila kujuwa na ndicho kilichotokea hapa mnampiga mateke chura kumbe ndio mnamfikisha bwawani.
Hahaha le mutuz wannabe alafu haunogi wala nini.
Now u came with you're true color!......
By the Matola ni gogo la udi kila unapolichoma linazidi kunukia tu.
Asanteni sana haters kwa kunipaisha sasa hivi Matola ni Big Celeb hapa JF. Na warembo wenye Tbs zao wako very interested na mimi than ever before.
Keep on guys keep on kunipaisha i love it.
hiyo picha ni screen capture ya simu yenye battery mbili na mitandao miwili ( vodacom na mtn )..nna doubt uhalali wake ( angalia vizuri ) hakuna jipya hapo..jamaa ameshindwa kuvumilia jinsi platnumz anavojizolea sifa kwa kumpeti peti yule dada kaamua amchafulieHivyo eeeh ! basi sawa,as long as inawapa faraja kidogo coz hakuna jipya uwanja huu.
hiyo picha ni screen capture ya simu yenye battery mbili na mitandao miwili ( vodacom na mtn )..nna doubt uhalali wake ( angalia vizuri ) hakuna jipya hapo..jamaa ameshindwa kuvumilia jinsi platnumz anavojizolea sifa kwa kumpeti peti yule dada kaamua amchafulie
nipo mama, majukumu tu
Pole na hongera mama
hasanteeeeee
naona watu inawauma sn sisi kumshabikia king, yaani mie ndio mapenzi yanazidi zaidi na zaidi
Inawauma sana.Naona Matola amekua mbuzi wetu wa kafara sisi Kiba fans maana wamemuandama hadi huruma!
Ila ndio wanazidi kumpa kick u know...
doh! ushamba tena kama alie i screeshot ni King kwanini ascreenshot tena mara ya pili? kesi yangu mimi ni kwa yule jamaa (kingsomething), hiyo picha ilivo hapo juu ndivo hivo hivo ipo kwene ukurasa wake wa facebookAcha ushamba wewe,hiyo mitandao na battery viko hivi......
Vodacom na battery iliyokua low ni vya aliyescreen shot,mtn na battery nyingine ni vya aliye screen shotiwa.
Au labda alitumiwa hiyo screen shot naye akaiscreen shot ndio akatuwekea hapa.
Uwe unatumia akili kufikiri kabla hujaropoka hapa sio kibanda cha wanywa gongo.
Inawauma sana.Naona Matola amekua mbuzi wetu wa kafara sisi Kiba fans maana wamemuandama hadi huruma!
Ila ndio wanazidi kumpa kick u know...
Yani ninapendwa kuliko maelezo, mbebs first class now amejiweka na condition ni kuwapotezea hao wanaosafiria nyota ya Matola, ila nawashukuru kwa free promo mpaka mbebs wa ukwe'he ameamuwa tuanze Le Project.
Mwenye wivu asage chupa abwie ashushie na JIKI.
doh! ushamba tena kama alie i screeshot ni King kwanini ascreenshot tena mara ya pili? kesi yangu mimi ni kwa yule jamaa (kingsomething), hiyo picha ilivo hapo juu ndivo hivo hivo ipo kwene ukurasa wake wa facebookView attachment 216819https://www.facebook.com/photo.php?fbid=691158804330238&set=a.301141093332013.70344.100003083749240&type=1
wanaume cku hizi wamebaki wachache, chuki za nn watu hata hamfahamiani, kisa kutofautiana interest???
heshima kitu cha bure na km huna huna tu as hainunuliwi, km namshabikia Kiba na wewe humpendi basi tulia fanya yako, haina maana kuleteana chuki za kipuuzi zisizo na msingi
Kiba is the best and he ll always be.