Hatimaye Diamond amtakia ndoa njema Ali Kiba

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond platnumz amemtakia Ali kiba Ndoa njema yenye baraka na furaha Tele!

Kitu ambacho watu wengi hawakutegemea lakini diamond kakifanya hakika kweli Sanaa Imezaliwa Upya!

Nini mtazamo wako

Screenshot from 2018-04-19 20-38-43.png
 
Diamond ni msanii mwenye roho nzuri sana huwa hana shida na mtu yeye hujali yanayo muhusu tuu na hupambana na hali yake....
Diamond ana msaidia sana Alikiba kuwaka....
Diamond angependa sana tena sana kuwa na amani na Ali lakini tatizo ni Ali atakosa kupata ugali wa kila siku maana kupitia sinto fahamu baini yao Ali anapata mkate wa kila siku....
 
Sanaa imezaliwa upyaa....!!??? yani jambo dgo hili limekusaulisha yaliotokea juzi kati tu hapo!?
 
Namshangaa Magufuli mpaka sasa yuko kimya tu, yaani hana taarifa za harusi au hajui kutumia Instagram?
 
Back
Top Bottom