Ali Kiba bado ni underground

Anapiga show laliga kiingilio elfu kumi duuh
 

Mbona mmechanganyikiwa sana, kama wimbo ni mbovu kinachowasumbua ni kitu gani? Unafikiri huko mikoani hakuna mashabiki wake ambao wanahitaji burudani yake?
 
Kimataifa kote huko mkuu mbona unaruka sylabus, aaah acha utani basi, anza kwanza kuuliza tuzo ndani ya Tanzania.

nafikiri ana tuzo moja. Cinderela ilimpa tu.
 
Toka lini bifu likampa mtu mafanikio.?
 
Nani anaweza kuniwekea thid hapa watu wakabashili matokeo ya cmba na yanga ksh kuliko ugoro ulioza kama huu
 
naomba nikumbushwe Ali Kiba aliwah chukua tuzo gani ya kimataifa?

cc Nifa cc mazombie

Mazombie ni wale wote wanaoropokwa na kuweweseka Kisa kiba anafanya yake! Why so much energy on suppressing him! Mxiiiuew
 
Last edited by a moderator:
Mazombie ni wale wote wanaoropokwa na kuweweseka Kisa kiba anafanya yake! Why so much energy on suppressing him! Mxiiiuew

Kwa uungwana naomba nikumbushe ALI KIBA aliwahi chukua tuzo gani ya nje ya mipaka ya TANZANIA ??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…