Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,402
- 3,182
Hivi huyu ni msemaji wa Yanga au msemaji wa Hersi?
Kwani haelewi kwamba kuna Hersi rais wa Yanga na Hersi Said mwenye maisha yake binafsi? Suala la kugombea ni suala binafsi la Hersi linaihusu nini Yanga kama klabu?
Kushindwa kwake kuna uhusiano gani na performance ya Yanga uwanjani. By the way mwambieni huyu mtoto Hersi hakwenda kugombea ubunge kama rais wa Yanga bali kama mwanachama wa CCM.
Au ndo yaleyale Yanga na CCM wote ni green and yellow. Nyuma mwiko bhana 🤔🤔