Ali Kamwe ni kama hajielewi

Ali Kamwe ni kama hajielewi

Tangia siku amtukane mkuu wa mkoa wa tabora na kuusema vibaya uwanja wa AZAM wakati team yake haina uwanja nikajua tu dogo hajielewi.
 
Hivi huyu ni msemaji wa Yanga au msemaji wa Hersi?

Kwani haelewi kwamba kuna Hersi rais wa Yanga na Hersi Said mwenye maisha yake binafsi? Suala la kugombea ni suala binafsi la Hersi linaihusu nini Yanga kama klabu?

Kushindwa kwake kuna uhusiano gani na performance ya Yanga uwanjani. By the way mwambieni huyu mtoto Hersi hakwenda kugombea ubunge kama rais wa Yanga bali kama mwanachama wa CCM.

Au ndo yaleyale Yanga na CCM wote ni green and yellow. Nyuma mwiko bhana 🤔🤔
Mku mbona unatulaumu sisi?
 
Kama kweli amesema hivyo, basi atakuwa anakosea. Maana kuna watu wapo Yanga kabla yeye na hao viongozi wake hawajazaliwa! Na bado hawakuwahi kuichangia ccm kupitia kivuli cha timu.
Ni Sahihi Ulichosema
Ila Msemaji Anawakwaza Sana Wenye Timu
 
Hivi huyu ni msemaji wa Yanga au msemaji wa Hersi?

Kwani haelewi kwamba kuna Hersi rais wa Yanga na Hersi Said mwenye maisha yake binafsi? Suala la kugombea ni suala binafsi la Hersi linaihusu nini Yanga kama klabu?

Kushindwa kwake kuna uhusiano gani na performance ya Yanga uwanjani. By the way mwambieni huyu mtoto Hersi hakwenda kugombea ubunge kama rais wa Yanga bali kama mwanachama wa CCM.

Au ndo yaleyale Yanga na CCM wote ni green and yellow. Nyuma mwiko bhana 🤔🤔
mwiko wa yanga ndo wanaupenda makolo
 
Back
Top Bottom