Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,698
- 12,428
Kwa Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Afisa habari wa Yanga Sc Ali kamwe amezimia kwa Mkapa mara baada tu ya Mchezo kumalizika huku Yanga Sc ikiibuka na ushindi wa Mabao 4-0 dhdi ya CR Belouizdad.
Hata hivyo, amekumbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa huduma ya kwanza.
Hii inaweza kuwa ni furaha kubwa aliyokuwanayo baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara kwanza katika Historia.