Alhamdulillah

Alhamdulillah

Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga!

Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika!

M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao!

Aamin

Mimi avatari tu.
 
korino Je uliwahi kutoa au kushawishiwa na kurubuniwa kutoa chochote katika kutafuta na kupat Ajira hii?
 
Last edited by a moderator:

Mejikuta nimefurahi tu ulivyopata kazi. Hongera mdada.
 
Back
Top Bottom