Wazaz nshawazika kitambo! Inshaallh zaka nitatoa..asante
Wazaz nshawazika kitambo! Inshaallh zaka nitatoa..asante
Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga!
Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika!
M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao!
Aamin
Ahsante kwa kushukuru,endelea kushukuru ,watendee haki kila mwenye kutaka huduma kupitia utumishi wako ktk ofisi za umma,piga vita rushwa kwa vitendo na usishiriki kwa lolote linalohusiana na ufisadi,Ukizingatia haya Mwenyezi mungu atakuongoza na kukuzidishia kila la kheri Daima!Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga!
Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika!
M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao!
Aamin
Pole kwa kufiwa na wazazi,..ila zaka tafadhari usipeleke msikitini wala kanisani,..wape wenye uhitaji wa kweli i.e wajane,yatima and the like.