kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
Jaman mwenye uhakika anisaidie kunijuza kama mechi hii itaweza kuonyeshwa live na channel zetu za kibongo,
Mpira utaanza saa 6 usiku kwa saa za Tanzania.
Utaonyeshwa moja kwa moja na TBC1 Tanzania na Canal Algerie ya Algeria
Kwa mtazamo wa chapchap tunaweza kufungwa ngapi leo??layball:Mpira utaanza saa 6 usiku kwa saa za Tanzania.
Utaonyeshwa moja kwa moja na TBC1 Tanzania na Canal Algerie ya Algeria
Kwa mtazamo wa chapchap tunaweza kufungwa ngapi leo??layball:
Sio chache hizo!! nakumbuka tulipigwa gwala na the pharaos ambao nao walichezea moko kwa hawa desert fox..ila mpira sio hesabu..huenda wakawa fair sijui kipa wetu atasimama yupi kupunguza dhahama ya magoli..ila hawa juzi kati walifungwa na Gabon nyumban kwao katka maandalizi
Kwa mtazamo wa chapchap tunaweza kufungwa ngapi leo??layball:
mechi bado kuanza tbc wapo wanafanya tathimini zao eti wanasema tunahitaji kuwa best looser hayo ndo maneno ya edo kumwembe duh!!wazee updates vipi?
England 4 Bulgaria zero!! jamie Defoe kapewa mpira kwa hat trick alizokandamiza!!! ya stars inaanza soon tutakuwa tukitoa updates..nadhan chache .....