Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

Ukitaka kufahamu madhara mengine hii nchi ilikua na watu ma giant, hebu angalia siku hizi watu wafupi wadogo hawana nguvu na afya pia. Vijana wa zamani ilikua hata awe mfupi lakini yuko na nguvu haswa.Nchi za West Africa tulikua tunatoshana nao kwa u giant na nguvu, hebu angalia leo timu za mpira, wachezaji wetu kama vitoto vile.. madhara yake ni makubwa na watu bado wanatetea ujinga tu. Pale forodha hio issue Iliua watu wengi sana.. rip wapendwa wetu.
 
Tatizo watu hawasomi nakuelewa wanawahi comments kabla ya kuelewa anacho comment.
 
Mada iko very clear nimetaja kampuni kwakuwa wamiliki kwa maana ya shareholders huja na kuondoka.... Lakini kila ajaye hurithi mipango, mikakati madeni faida nk.... Hapa nimejadili kampuni sio mtu
Tuweke siasa kando wewe jamaa ni akili nyingi sana mkuu. Respect respect respect ..
 
 
Sasa hivi ndiyo alishasaini mikataba kuchukua Simba na nembo na ASSETS ZAKE. Kuna kesi imeanzishwa na taasisi ya serikali.
 
Halafu mtu anaamini tu kua ku-struggle kikawaida unakua bilionea.
Matajiri wengi wana TELLABLE na UNTELLABLE stories kuhusu mafanikio waliyoyafikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…