Alex Msama Vp Tena Na Rose Mhando??

siamini ya kwamba anatumia madawa licha ya kwamba lisemwalo lipo kama halipo linakuja....wasanii wa bongo wote watumiaji walipinga vikali mpaka gari lilivyowaka wakakubali wenyewe
 
Kuongea bila uhakika wa unachokiongea ni tatizo kuliko tatizo lenyewe,mimi Rose ni ndugu wa jirani yangu (sitotaja jina) tofauti na kuelezewa fujo zake,pia nimeshawahi kuwa karibu naye kimaongezi ya kawaida na kujumuika na watu wengine, NIMEGUNDUA ROSE NI MKOROFI,TAPELI,MLEVI WA POMBE,MAJI MARA MOJA,HAISHI KTK MISINGI YA MUNGU,ANAVAA KIHASARA HASARA NA KUNA UWEZEKANO PIA HIVO VITU (madawa) ANATUMIA. Lakini ukweli usiopingika ni kuwa huyu Dada anakipaji cha uimbaji na ni kweli ule ni mgodi unaotembea,uzuri wake bado hajapotea sana akimpata mtu wa saikolojia anaweza kumrudisha ktk mstari.
 
Back
Top Bottom