Alex Msama Vp Tena Na Rose Mhando??

Tangu alivyoanza kuongelewa kuwa anatumia ngada madhara yake tungeshaona live,ngada haijifichi,Kuna kitu nyuma ya pazia hapa.
 
Tuombe Mungu.Promota mzuri apatikane.Sio huyo Msama.Eti Rose Hana ubavu wa kujaza Diamond Jubilee. Hivi Anamjua Rose au anamsikia.Yule inatumia Pesa kushawishi atengwe..baada ya kumdhurumu
Rose ninayemfahamu mimi ni MKOROFI....nyie mnaomtetea sogeeni karibu naye pengine hamtaandika haya..... Mungu atusaidie sote.
 
Habari haieleweki ni ipi na maoni yako ni yepi.

Hata hivyo pole Rozi Mhando.!
 
Habari zenu wanajanvi.
Katika Gazeti.la Kiu toleo no.1472 la Tarehe 9-11,2016.Alex Msama anamtuhumu Rose Mhando kama ni Mtumiaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya ,kamtoa Mara nyingi police pia kamlipia madeni Na pia Rose Mhando keshawatapeli wachungaji Na Eti hiyo ni Laana.Na Tena anadai keshamkombolea nyumba yake isipigwe Mnada kwa madeni pia keshamlipia madeni yapatayo Milioni 100,Lakini mwandishi walipomuuliza mbona.Madai yako hayafanani Na Ukweli??kwa Maana kwamba Rose akiwa analalamika kwamba yeye.kwa Sasa analala njaa Na wao wanaendesha Magari ya kifahari.Na majumba ya kifahari wakati wanakutana walikuwa masikini wa kutupwa ila Leo hawapokei simu yake.Mwaandishi.anadai.Sauti ya Rose au muonekano sio ya mtumiaji wa Madawa kama inavyodaiwa.Yeye Msama Anasisitiza Anajidunga.kila siku.Milioni 1 Na ni tapeli ndo maana kamkimbia hataki Tena kujihusisha naye.Na Pia kadai Kuwa Rose Hana Jeuri ya kujaza uwanja wa Taifa ndo mana katika Albalm yake Mpya aliyozindulia Diamond Jubilee hakujaza .Sawa tumuamini Nani.Hakuna hata Picha ya ushahidi kwamba anatolewa.kila Mara Police.Picha anayojidunga au aliyechooka kama akina Nice,chid,Ray C.Sisi wapenzi wa Rose Mhando tutakikisha VIP.Au Je Kuna Kitu zaidi ya hicho??Hivi Wewe Msama Dereva Tax wa Zamani unaweza mlipia Rose Mhando Milioni 80 ya madeni yake unavyopenda sifa si tungejua??
Kuna siku Uwanja wa Taifa nilikuwepo uwanjani.Ilikuwa siku ile mama Salma kikwete anaaga Na kuombea Amani kabla ya uchaguzi wa mwaka jana.Rose Mhando aliwekwa wa mwisho kuimba Na mwisho wa siku Mtangazaji akasema Rose Hataimba Tena.Karibia uwanja.mzima ulilipuka kwa Hasira why???walipoona Nguvu ya Rose Ni kubwa wakamleta.Aliimba vizuriii mno Tena zaidi ya zamani.Tena wimbo wake ulikuwa.kama una maneno 'Mungu kama Kaniweka juu Shetani huwezi nishusha.Watu walisikikaa wakiimba naye.Niseme Ukweli.. Rose Hata kama Kateleza kama Binadamu wa kawaida bado anayo Nguvu Tena kuubwa.Na kama kuna malalamiko dhidi yake Basi itumike Busara.Kupotea kwa Rose Mhando kwenye Anga la Muziki wa Injili Ni kama Kanumba kwa Bongo Movies kwa Sasa.Na pia Rose alisema Jamani nazushiwa navuta unga hivi Mvuta unga aliyekubuhu kama madai yao Anawez kuimba Na kukumbuka mashairi Na Stepu kama hivi???Promota mwingine anayesoma hapa tafadhari nakuomba ukamuokoe Rose.Kuna Ukweli unafichwa!!!Huwezi kazana Sema Fulani hivi Bila Hata ushahidi.
Wito wangu kwa Rose pambana.Tafuta Promota mwingine.Nguvu unayo kubwa kwenye Soko la injili Tanzania Na Africa.Hizo zingine Ni Changamoto tu na uzifanyie Kazi kama zipo.Mungu anakupenda.Na naamini Watanzania Wengi tunapenda sana Kazi zako.Umejaaliwa Sauti Tamu Na nzuri.Maadui zako hawawezi kutokukubaliana kwamba Wewe Ni Mgodi unaotembea!!!!
Huu uandishi wako unatesa sana kusoma hii habari,jaribu kufata kanuni za uandishi basi.
 
Sasa kama yeye anatunga nyimbo zake msama ana mzuiaje hapo, ebu nieleweshe kdogo
Hujaelewa.Yaani Kuna ile promo.Sasa umezungukwa na Watu wanakuharibia Eti Msimuamini tapeli anabwia unga.Ukiangalia nyimbo za Dini na unga.So a nashindwa kusonga mbele ukiangalia Pesa kadhulumiwa.Sijui umeelewa.Bwana yule yupo katikati na Pesa kumchafua.Yy si anasema kila Mara anamtoa police.Ivi Kuna siri siku hizi mapichaa si tungeyaona.Au VP Jamani Rose anapotea huku ana kipaji sana.
 
Mtoa mada unaandika kama ngumbaru, anyway ni kweli Rose alishika sana enzi za 'Nibebe', hiyo ishu ya madawa na utapeli nimeisikia mara nyingi sijui ina ukweli kiasi gani
Ngumbaru Kweli.Una jingine.
 
Habari zenu wanajanvi.
Katika Gazeti.la Kiu toleo no.1472 la Tarehe 9-11,2016.Alex Msama anamtuhumu Rose Mhando kama ni Mtumiaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya ,kamtoa Mara nyingi police pia kamlipia madeni Na pia Rose Mhando keshawatapeli wachungaji Na Eti hiyo ni Laana.Na Tena anadai keshamkombolea nyumba yake isipigwe Mnada kwa madeni pia keshamlipia madeni yapatayo Milioni 100,Lakini mwandishi walipomuuliza mbona.Madai yako hayafanani Na Ukweli??kwa Maana kwamba Rose akiwa analalamika kwamba yeye.kwa Sasa analala njaa Na wao wanaendesha Magari ya kifahari.Na majumba ya kifahari wakati wanakutana walikuwa masikini wa kutupwa ila Leo hawapokei simu yake.Mwaandishi.anadai.Sauti ya Rose au muonekano sio ya mtumiaji wa Madawa kama inavyodaiwa.Yeye Msama Anasisitiza Anajidunga.kila siku.Milioni 1 Na ni tapeli ndo maana kamkimbia hataki Tena kujihusisha naye.Na Pia kadai Kuwa Rose Hana Jeuri ya kujaza uwanja wa Taifa ndo mana katika Albalm yake Mpya aliyozindulia Diamond Jubilee hakujaza .Sawa tumuamini Nani.Hakuna hata Picha ya ushahidi kwamba anatolewa.kila Mara Police.Picha anayojidunga au aliyechooka kama akina Nice,chid,Ray C.Sisi wapenzi wa Rose Mhando tutakikisha VIP.Au Je Kuna Kitu zaidi ya hicho??Hivi Wewe Msama Dereva Tax wa Zamani unaweza mlipia Rose Mhando Milioni 80 ya madeni yake unavyopenda sifa si tungejua??
Kuna siku Uwanja wa Taifa nilikuwepo uwanjani.Ilikuwa siku ile mama Salma kikwete anaaga Na kuombea Amani kabla ya uchaguzi wa mwaka jana.Rose Mhando aliwekwa wa mwisho kuimba Na mwisho wa siku Mtangazaji akasema Rose Hataimba Tena.Karibia uwanja.mzima ulilipuka kwa Hasira why???walipoona Nguvu ya Rose Ni kubwa wakamleta.Aliimba vizuriii mno Tena zaidi ya zamani.Tena wimbo wake ulikuwa.kama una maneno 'Mungu kama Kaniweka juu Shetani huwezi nishusha.Watu walisikikaa wakiimba naye.Niseme Ukweli.. Rose Hata kama Kateleza kama Binadamu wa kawaida bado anayo Nguvu Tena kuubwa.Na kama kuna malalamiko dhidi yake Basi itumike Busara.Kupotea kwa Rose Mhando kwenye Anga la Muziki wa Injili Ni kama Kanumba kwa Bongo Movies kwa Sasa.Na pia Rose alisema Jamani nazushiwa navuta unga hivi Mvuta unga aliyekubuhu kama madai yao Anawez kuimba Na kukumbuka mashairi Na Stepu kama hivi???Promota mwingine anayesoma hapa tafadhari nakuomba ukamuokoe Rose.Kuna Ukweli unafichwa!!!Huwezi kazana Sema Fulani hivi Bila Hata ushahidi.
Wito wangu kwa Rose pambana.Tafuta Promota mwingine.Nguvu unayo kubwa kwenye Soko la injili Tanzania Na Africa.Hizo zingine Ni Changamoto tu na uzifanyie Kazi kama zipo.Mungu anakupenda.Na naamini Watanzania Wengi tunapenda sana Kazi zako.Umejaaliwa Sauti Tamu Na nzuri.Maadui zako hawawezi kutokukubaliana kwamba Wewe Ni Mgodi unaotembea!!!!
Msama kapigwa chini na Rose sasa huo ni wivu unaomsumbua
 
Huko nyuma niliwahi onana na Rose akiwa na jamaa mmoja anaitwa Nathan ambae nilitambulishwa kua alikua ni Manager wa Rose,pia kuna huyu Msama sijui nae nikaambiwa lazima apate mshiko sasa nikajiuliza hawa jamaa wote wawili wanamtegemea huyu dada? Anyway nikasema dili limekufa siwezi wapa pesa mababa wawili afu Rose apate kidogo,kwa kifupi Rose kawatengenezea pesa hao watu wawili Nathan na Msama muuza magodoro.
 
Jana nimenunuwa arbam ya bahati nikawa nimegoma kununuwa nikijuwa nifeki akaniambia siku hizi anajisimamia mwenyewe ha menejiment
 
Hivi naniliu ile hela yake aliyopata alipouza kiwanja kule kigamboni bado ipo?, au ndio jahazi limeanza kuteka maji?.
 
Back
Top Bottom