Mkurugenzi wa Msama Promotion,Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma.
Pichani kulia ni mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve akimjulia hali akiwa amelazwa kwenye moja ya hospitali mjini humo.chanzo:clouds fm
Mbona naona kama haumwi ni kama kalala tu. Au?
Mbona naona kama haumwi ni kama kalala tu. Au?
Huyu si ndie yule anaedhulumu/wanyonya Wasanii pamoja na kutowalipa Wafanyakazi wake Mishahara yao huku yeye akijiingizia Mamilion kwa kufanya Matamasha kede kede?kweli nimeamini Mungu yupo na Pesa sio kila kitu mbele ya Mungu na malipo hapa hapa Duniani,bado yule wa Wafu FM.

hata mimi kuna mtu alintonya yuko karibu Na nice anasema nice alikua kwenye bajaji na dogo moja anaitwa peter ..bajaji iligongana uso kwa uso na prado hyo peter kafa hapo hapo kichwa kmepasuka .nice alipelekwa mwananyamala yeye akavunjika mkono kaumia na jicho na uso wake hoi.naskia na mr nice yu mahututi kwa ajali ya bajaj mwenye taarifa kamili atujuze