Alex Massawe: Umaarufu wake unatokana na nini?

Mkuu nisome hapo juu. Alex, kesi yake aidha ''atashinda'' au ataenda ''mvua chache''. Na hiyo ni kutokana na support ya serikali yenyewe. Kwa hiyo serikali haijipangi kushinda bali kushindwa

Si kweli, tatizo serikali yetu inafanya vitu kimakusudi. Kama ikitaka kushinda itashinda ila wanaangalia nani wa kumtetea. Si haki hata kidogo.
 
celebrity_alex massawe
GetPicture-58161894.jpg
 
Ile imeuzwa kuna --- ameichkua

Ova
Mimi yale mabalaa anayafanya nilikua sipo niliporudi nikaambiwa huyo jamaa hapo mbele ana hatari sana ilikua maeneo ya Kinondoni nakumbuka baada ya muda nikasikia kesi ya kuua mtu mikocheni mara sijui wakaleta sinema yupo dubai kumbe yupo kwa Babu nilipokutana nae Jozi vizuri hata afanani na mabalaa yake ila ana roho ngumu hawa anaweza kumeza jiwe la moto..
 
Anaongea taratibu 😄
Nlimuziaga Toyota premio
Kupitia mtu,sasa wkt dar kulkuwa na rpc mmj nlikuwa namudu sana akapigiwa sim moja tu nkasikia tutafutane au mtafute fulani tumalizane 😄
Wkt huo yuko na mradi wake anajenga msasani hotel&apartments sjui bd ziko chini yake au la
S.A naona alishindwa kuishi kwa lifestyle yk hko wangesha mshayawena
Hata ile sekeseke hadi kukimbia aligusa waya mnene haha

Anapiga deal tu hawezi kupiga mishe za bongo anapotea.
 
Back
Top Bottom