Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
rosemarie
mbona umekimbia? kuwa mstaarabu na uombe radhi, maana sisi tunajua Askofu Malasusa hayupo kwenye BMK. Ni dhahiri haumfahamu vizuri huyu Askofu, hufuatilii BMK kwa umakini (utakuwa unategemea posts za kusikia na mitandaoni) ndio maana umekurupuka tu na kupost. Sihitaji kukueleza mengi khs jinsi KKKT na makanisa mengine ya CCT yalivyotoa msimamo wao, maana kuna watu wameshakueleza. next time soma mara mbili post yako kabla ya ku-click send button
Mkuu huyo mama nilishamwambia asinywe kiroba original na burudani.. Kama amekosa japo pesa ya eagle ni bora anywe kiroba cha konyagi.. Ona sasa anavyoendelea kujiaibisha
Last edited by a moderator: