Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

baba askofu yupo makini tunamwomba tu atuondelee Sitta kama Mzee wa usharika pale kinondoni anatudhalilisha abaki kama mwumini tu wakawaida
 
Kweli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu. Huwezi kutumikia mabwana wawili
 
Yap... Ndivyo ilivyo kwamba kiongozi wa dini aliyebeba siri za Mungu alafu ajikite kwenye politics ameshapoteza mwelekeo na haezi kutumika tena na Mungu, kitakachoendelea ni uzoefu wa theolojia na sio ufunuo mpya toka kwa Mungu
 
Ni mafundisho ya Ibilisi yanayosema,"Kupinga utawala au serikali ni dhambi "!
Soma Biblia:
DANIELI 3:1-30; DAN 6:1-28 NK
 
Mwenyekiti wa baraza (KIKAO) ni mkuu kuliko kadinal? Hii MPYA.organization chart ya kanisa katoliki ndivyo ilivyo?
Kwa hiyo huyo ngalekumtwa huwa anaenda vatican kuchagua papa akimwacha huyo junior wake pengo?
Tofautisha mwenyekiti wa kikao cha baraza na kadinal.Hata wewe waweza kuwa mwenyekiti na DR.Slaa mume wa Mushumbusi alikuwa ni katibu wa baraza la maaskofu Tanzania pamoja na kuwa hakuwa askofu hizo ni taratibu tu za vikao.Hazina uhusiano na protocol za vyeo.Unataka kusema wakati slaa alikuwa katibu wa baraza la maaskofu alikuwa mkubwa kuliko PENGO?

Mkuu inawezekana ukawa hujaniasoma sawasawa nakushauri nisome taratibu kama unataka kuelewa..then utaelewa....

Maamuzi ya Kanisa Catholic Tanzania yanafanyika na Baraza la Maaskofu catholic Tanzania ambalo kwasasa liko chini ya Ngalalekumtwa hivyo ni sahihi kusema kwamba Ngalalekumtwa ni Rais wa Kanisa Catholic Tanzania na msaidizi wake ni Niwemugizi.

Huyo Askofu Pengo ni mteule wa Papa kama unavyosema ndie anayewenda kupiga kura kumchagua Papa huko Vatican lakini Ukija ktk Kanisa Catholic Tanzania yuko chini kimaamuzi na Kaimadaraka kwa Ngalalekumtwa....Hili ni Kanisa Catholic tofautisha na Makaniaa mengine..!!

Labda nikuulize mkuu wewe unasali wapi?

Halafu Tambua kwamba nafasi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Catholic Tanzania ni ya KUTEULIWA na wala si ya juchaguliwa hivyo anaweza kuteuliwa yeyote nje ya Baraza maadam anakidhi sifa na vigezo vya Baraza la Maaskofu na Kanisa kwa ujumla ktk Kazi za kila siku za Kanisa hilo

Jitahidi kunisoma katikati ya mistari

BACK TANGANYIKA
 
Ni halali ki-Biblia kwa mtumishi wa Mungu,kuwakemea watawala wa nchi wakitenda yasiyo haki.
(LAW 4:22,26; MITH 16:12)
 
Kiongozi wa dini alieamua kuingia kwenye siasa hawezi kukemea dhambi kwa kuwa siasa ni mchezo mchafu. Ndiyo maana hata Mtume Paulo kabla hajakutana na Yesu alikuwa mtumishi mwaminifu wa serikali ya Rumi wakati huo akiitwa Sauli. Lakin baada ya kuanza kimtumikia Mungu aliachana na siasa
 
Watumishi wa Mungu watakuwa kama Yohana Mbatizaji kwa kukemea dhambi ya mfalme kwa gharama ya kifo.
{MARK 6:17-18}
 
Mkuu inawezekana ukawa hujaniasoma sawasawa nakushauri nisome taratibu kama unataka kuelewa..then utaelewa....

Maamuzi ya Kanisa Catholic Tanzania yanafanyika na Baraza la Maaskofu catholic Tanzania ambalo kwasasa liko chini ya Ngalalekumtwa hivyo ni sahihi kusema kwamba Ngalalekumtwa ni Rais wa Kanisa Catholic Tanzania na msaidizi wake ni Niwemugizi.

Huyo Askofu Pengo ni mteule wa Papa kama unavyosema ndie anayewenda kupiga kura kumchagua Papa huko Vatican lakini Ukija ktk Kanisa Catholic Tanzania yuko chini kimaamuzi na Kaimadaraka kwa Ngalalekumtwa....Hili ni Kanisa Catholic tofautisha na Makaniaa mengine..!!

Labda nikuulize mkuu wewe unasali wapi?

Halafu Tambua kwamba nafasi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Catholic Tanzania ni ya KUTEULIWA na wala si ya juchaguliwa hivyo anaweza kuteuliwa yeyote nje ya Baraza maadam anakidhi sifa na vigezo vya Baraza la Maaskofu na Kanisa kwa ujumla ktk Kazi za kila siku za Kanisa hilo

Jitahidi kunisoma katikati ya mistari

BACK TANGANYIKA
Umesema vyema sana..

Watu wanajuaga kuwa Pengo ndo kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki....

Pengo ni mtu mdogo sana...Cheo chake. Kikubwa kipo hapo DSM....Anapata heshima kutoka na Ukadinali wake..
 
Mwenyekiti wa baraza (KIKAO) ni mkuu kuliko kadinal? Hii MPYA.organization chart ya kanisa katoliki ndivyo ilivyo?
Kwa hiyo huyo ngalekumtwa huwa anaenda vatican kuchagua papa akimwacha huyo junior wake pengo?
Tofautisha mwenyekiti wa kikao cha baraza na kadinal.Hata wewe waweza kuwa mwenyekiti na DR.Slaa mume wa Mushumbusi alikuwa ni katibu wa baraza la maaskofu Tanzania pamoja na kuwa hakuwa askofu hizo ni taratibu tu za vikao.Hazina uhusiano na protocol za vyeo.Unataka kusema wakati slaa alikuwa katibu wa baraza la maaskofu alikuwa mkubwa kuliko PENGO?
Mkuu wacha ubishi kama kasuku...Pengo ni Askofu mkuu wa DSM (Metropolitan) kama ilivyo kwa Maaskofu wengine wakuu...

Zaidi ya hapo Pengo anaheshima tuu ya kuwa Cardinal.(Uhalali wa kumchagua Pope)...Mbali na hapo, Pengo ni mdogo wa Ngalalelikumtwa....

Rais wa Baraza la Maaskofu ndo Boss...
 
Manabii wa uongo,hawawezi kuwaeleza dhambi zao na makosa yao wakuu wa nchi kama Nathani kwa mfalme ! [2SAMUELI 12: 1-15]
 
KKKT inaye mjumbe ndani ya bunge anafahamika kama mch. kadiva, kama sijakosea

CCT wote wakiwemo KKKT wana mjumbe mmoja tu tena ni mwanamke. Hao wengine wote wameingia sababu ya uhusiano wao binafsi na CCM akiwemo huyo mchungaji pamoja na akina Mhagachi na Mtetemela.
 
rosemarie
mbona umekimbia? kuwa mstaarabu na uombe radhi, maana sisi tunajua Askofu Malasusa hayupo kwenye BMK. Ni dhahiri haumfahamu vizuri huyu Askofu, hufuatilii BMK kwa umakini (utakuwa unategemea posts za kusikia na mitandaoni) ndio maana umekurupuka tu na kupost. Sihitaji kukueleza mengi khs jinsi KKKT na makanisa mengine ya CCT yalivyotoa msimamo wao, maana kuna watu wameshakueleza. next time soma mara mbili post yako kabla ya ku-click send button
 
Last edited by a moderator:
Umesema vyema sana..

Watu wanajuaga kuwa Pengo ndo kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki....

Pengo ni mtu mdogo sana...Cheo chake. Kikubwa kipo hapo DSM....Anapata heshima kutoka na Ukadinali wake..

Jamaa haelewi taratibu za Kanisa katoliki halafu bado anabisha...

Anafikiri Pengo anaweza kuamka asubuhi tu na kumfukuza Askofu au atamke tu Jambo fulani kisha tuseme ndio Msimamo wa Kanisa.

Au uwepo wa Kardinali mmoja Tanzania umemfanya afikiri Ndiye boss wa Maaskofu wote..
 
rosemarie
mbona umekimbia? kuwa mstaarabu na uombe radhi, maana sisi tunajua Askofu Malasusa hayupo kwenye BMK. Ni dhahiri haumfahamu vizuri huyu Askofu, hufuatilii BMK kwa umakini (utakuwa unategemea posts za kusikia na mitandaoni) ndio maana umekurupuka tu na kupost. Sihitaji kukueleza mengi khs jinsi KKKT na makanisa mengine ya CCT yalivyotoa msimamo wao, maana kuna watu wameshakueleza. next time soma mara mbili post yako kabla ya ku-click send button
Huyo mama ndo zake kukimbia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom