Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
Hivi huyu Askofu ana msimamo gani hasa juu ya siasa za nchi yetu?nani alipendekeza huyu mtu awe askofu wetu?hivi anajua misimamo yetu au anajifanyia mambo yake anavyotaka na kujipendekeza kwake ccm?ni lini hasa tutaachana na hawa wanafiki?
 
Kabla ya kuandika nakushauri ukasome historia ya Lutheran waweza kujua kwa nini Dr Alex G. Malasusa amekuwa hivyo. Hata mimi ni mKKKT.
 
kwa nini asiwe wazi tujue ili tujue what way forwad,viongozi wanafiki ndani ya kanisa hatuwahitaji tena tunataka mabadiliko ya kutuvusha huko tuendako
 
Ni kweli huyu mlutheri mwenzetu hatoi maono yake kuhusu katiba ya nchi hiii na still wanaombea Taifa unapoombea Taifa lazima ulielekeze kukaa kwenye msimamo....!
 
Labda kama mna jingine kwa huyo askofu! Alishatoa msimamo wa kanisa, akiwa Askofu wa KKKT na pia kupitia Jumuia ya Kikristo (CCT)! Naombwa tafadhali nisiulizwe alisemaje, ninachojua na nilicho na uhakika nacho alishatoa msimamo wa KKKT!
 
ukitaka kujua msimamo wake, waulize waumini wa kkkt kokote wanaposali wamefikishiwa ujumbe gani kwenye mahubiri kuhusu wao (waumini) na hatima ya taifa lao.

mimi binafsi nimeambiwa ikiwa ni sehemu ya mahubiri kuwa "MUNGU hawapendi wasahaulifu" tukasisitiziwa kuwa "usahaulifu wetu umefanya tunatawaliwa (sio kuongozwa) na watu wale wale kila miaka"

aliyehubiri ni mch. Henry Mwinuka.
angehubirije hayo kanisani kwa kiongozi asiyetaka mambo hayo kuhubiriwa. MALASUSA HAWAPENDI WAJINGA huwaombea mara zote na kuwafundisha.
 
mimi nilidhani unamlenga askofu mtetemela wa Anglikn aliyesadikika kuhongwa na sita ili kukana waraka wa CCT?
 
Labda kama mna jingine kwa huyo askofu! Alishatoa msimamo wa kanisa, akiwa Askofu wa KKKT na pia kupitia Jumuia ya Kikristo (CCT)! Naombwa tafadhali nisiulizwe alisemaje, ninachojua na nilicho na uhakika nacho alishatoa msimamo wa KKKT!

tunaomba sana tuwekee msimamo wake hapa manake tumefatilia na tunajua yupo wkenye bunge la katiba tunataka msimamo wake ili tuanze kuchukua hatua
 
Wewe mama Rosemarie hakika una lako jambo na huyu baba! Hivi kweli Dr. Alex Malasusa yuko kwenye Bunge la Katiba? Au umechanganya madesa?
 
tunaomba sana tuwekee msimamo wake hapa manake tumefatilia na tunajua yupo wkenye bunge la katiba tunataka msimamo wake ili tuanze kuchukua hatua

wewe umechanganyikiwa Malalusa yupo BMK.
 
kwa nini asiwe wazi tujue ili tujue what way forwad,viongozi wanafiki ndani ya kanisa hatuwahitaji tena tunataka mabadiliko ya kutuvusha huko tuendako

mbona walishatoa tamko chini ya mwamvuli wa cct, cct ni jumuiya ya kikristo tanzania, makanisa yanayound cct ni Lutheran, moravian, anglikan, aict, na mengine. sasa we ulitaka atamke yeye kam yeye?
 
Siku zote tunajua msimamo wa kanisa kuwa maridhiano ndiyo njia pekee ya kupata katiba bora. Msimamo huo umesimama mpaka kesho.
 
tunaomba sana tuwekee msimamo wake hapa manake tumefatilia na tunajua yupo wkenye bunge la katiba tunataka msimamo wake ili tuanze kuchukua hatua

Tamko lililosomwa makanisani ni la wote siyo malasusa pekee ila yumo na ndo mcmamo wake.kabda kama unataka kumloga.
 
rosemarie,
Mimi mwenyewe ni mlutheri, naipenda kanisa langu, ninampenda zaidi Mungu ninayemtumikia. Huyu askofu nadhani ana elements za ccm, au misaada ya Lowassa makanisani inawalemaza vichwa baadhi ya viongozi wetu, wapo kimya kwenye mambo muhimu yanayohusu taifa letu, hawaoni kwamba wanaoumizwa ni sisi watanzania ambao kimsingi ndiyo waumini wao.

Nina mashaka maaskofu wakuu wa makanisa na viongozi wa madhehebu wanawekwa na usalama wa taifa bila waumini kujua. Angalia Cardinali Pengo alivyo kimya. Japo viongozi wengine kwakweli wanatutetea, Severine Niwemugizi yupo vizuri sana
 
Last edited by a moderator:
rosemarie,
Angalia Cardinali Pengo alivyo kimya. Japo viongozi wengine kwakweli wanatutetea, Severine Niwemugizi yupo vizuri sana

Tofautisha Askofu mkuu na askofu wa kawaida.Huyo Niwemugizi ni mtu mdogo sana kuna maaskofu kibao ila maskofu wakuu ni viongozi wakuu wa nchi wa dini zao.

Pengo ni kama raisi wa wakatoliki Tanzania na Malasusa ni kama raisi wa walutheri wa tanzania.Hawa wanajua kuwa katika waumini wao wamo CCM na UKAWA na watu wa kutoka vyama vyote na wasio na vyama,wanasiasa na wasio wanasiasa.Hivyo hawa wakuu huwa makini sana kutoa matamko yanayoegemea makundi.Huwa hawajishughulishi sana na mambo ya siasa na makundi ya kisiasa tofauti na hao maskofu wa maeneo kama akina Niwemugizi au wale wa makanisa ya mifukoni mwao ambao document zote za kanisa ziko mifukoni mwao kama akina kakobe n.k

Stability ya makanisa kwao ni muhimu kuliko siasa hizi za mpito za mara leo UKAWA,kesho maandamano n.k
 
Kabla ya kuandika nakushauri ukasome historia ya Lutheran waweza kujua kwa nini Dr Alex G. Malasusa amekuwa hivyo. Hata mimi ni mKKKT.

Aisee si ungetupiatujisomee. sisi walutheri mi naona kanisa limeyumbishwa sana, mara matunguli ya babu wa loliondo?? shiiida tupu.
 
rosemarie,
Mimi mwenyewe ni mlutheri, naipenda kanisa langu, ninampenda zaidi Mungu ninayemtumikia. Huyu askofu nadhani ana elements za ccm, au misaada ya Lowassa makanisani inawalemaza vichwa baadhi ya viongozi wetu, wapo kimya kwenye mambo muhimu yanayohusu taifa letu, hawaoni kwamba wanaoumizwa ni sisi watanzania ambao kimsingi ndiyo waumini wao.

Nina mashaka maaskofu wakuu wa makanisa na viongozi wa madhehebu wanawekwa na usalama wa taifa bila waumini kujua. Angalia Cardinali Pengo alivyo kimya. Japo viongozi wengine kwakweli wanatutetea, Severine Niwemugizi yupo vizuri sana

Amini usiamini Lowassa amewaweka njia panda. Inabidi tumpate Musa atakaye waeleza ukweli wakristo bila kuogopa kivuli cha Lowassa. Makanisa ya CCT karibu yote yameshindwa kusimama na kutoa tamko kwa waumini wao. Hawako wazi wanaaacha waumini watumbukie shimoni kwa miguu yao.
 
Nadhani kama sijakosea unamwongelea Askofu Mtetemela Askofu mkuu wa zamani wa Anglican? Maana huyo ndiye niliona anapiga kura ya ndiyo na ndiye yuko Bungeni
Hivi huyu Askofu ana msimamo gani hasa juu ya siasa za nchi yetu?nani alipendekeza huyu mtu awe askofu wetu?hivi anajua misimamo yetu au anajifanyia mambo yake anavyotaka na kujipendekeza kwake ccm?ni lini hasa tutaachana na hawa wanafiki?
 
Kwa hiyo ukishajua msimamo wake....what's next?
 
Back
Top Bottom