Alert!!Alert!!Valentine Day!!!!!!

Alert!!Alert!!Valentine Day!!!!!!

KakaKiiza
images
Asante umezidi wamoyo maana hata ajaniletea where she is nivea???
 
Last edited by a moderator:
MIMI LEO VALENTINE,JANA ILIKUWA VALENTINE,KESHO VALENTINE KESHO KUTWA VALENTINE
JUZI NA HATA SASA HIVI NI VALENTINE!
ngoja nikuwish na wewe dada mkubwa !HAPPY VALENTINE DAY TO YU AND RAFIKI YAKO! BAK where are yu utuburudishe tusherehekee mahaba yetu!
WALE WOOOTE WANAOSHEHEREKEA MAHABA KILA SIKU!cheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeers!
ha ha haaa, huyu rafiki BAK sijui kapotelea wapi? sijamsikia kabisa leo,
sijui kafungiwa wameshaanza valentine........ hapa kumwona tena mpaka val iishe, lol!
kila la heri rafiki huko huko uliko ikufikie
 
Last edited by a moderator:
acha tu umenikumbusha mbali sana ukiona soda nyumbani aidha sikuku au kaja mgeni lol.
ukipikwa huo wali tu siku nzima unakuwa na adabu tele hata kwa jirani hakuendiki kucheza.
na hii ya kwenda kwenye ibada na watoto siku ya sikuu tu na nayo mbaya wanajua kusali ni mpaka sikuu tu lol.
ukiweka mfumo huo mzuri sana hakuna maisha ya kukariri,
binamu watoto twaenda nao church kila Jumapili siyo sikukuu tu......
 
Inategema yuko wapi na ana kazi gani. Wala usitake kuvunja mahusiano ya watu.
 
Suuzika moyo snowhite kwa raha zako.

BCC: @FP




MIMI LEO VALENTINE,JANA ILIKUWA VALENTINE,KESHO VALENTINE KESHO KUTWA VALENTINE
JUZI NA HATA SASA HIVI NI VALENTINE!
ngoja nikuwish na wewe dada mkubwa !HAPPY VALENTINE DAY TO YU AND RAFIKI YAKO! BAK where are yu utuburudishe tusherehekee mahaba yetu!
WALE WOOOTE WANAOSHEHEREKEA MAHABA KILA SIKU!cheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeers!
 
Last edited by a moderator:
Asante umezidi wamoyo maana hata ajaniletea where she is nivea???
tulia baba usipapatikiwe na mapicha subiri live movie hahahahahahah Mamndenyi koma kabisa koma kabisa ukicheza utaliona ngorika mlangoni kwako tayari kwakukurudisha kwenu oh wote tumetumwa mjini kutafuta nini tena wa kwetu kuingiliaana huyo shemeji yako!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Tahadhari kwa wapendanao Ukipokea banchi la maua,kadi kwa ajiri ya Valentine Day!kwakipindi cha jioni imekula kwako!!
Jihesabie wewe ni Masalia!Ujue kuna waliopata Asubuhi ya saa nne,Saa sita hadi saa saba mchana wakati wa lanchi sasa wewe unapewa Maua nakadi jioni jua limezama na siku iko robotatu!!Pole yako!!:A S 12:
heheheheheheh una majungu hakika ,hujambo lakini
 
nivea ndo unazinduka kutoka kwa Asprin wakati wenzio tushamaliza kila kitu
pole bi dada.

tulia baba usipapatikiwe na mapicha subiri live movie hahahahahahah Mamndenyi koma kabisa koma kabisa ukicheza utaliona ngorika mlangoni kwako tayari kwakukurudisha kwenu oh wote tumetumwa mjini kutafuta nini tena wa kwetu kuingiliaana huyo shemeji yako!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
nivea jiua kwa ajili ya hiyo no
but wewe endelea hapa niko kando kabisa.

wanawake wa mjini kwa mabiti waweza jiua bure ati lol haya mwaya kizuri kula na mwenzio eti
 
Last edited by a moderator:
binamu watoto twaenda nao church kila Jumapili siyo sikukuu tu......

safi sana ni muhimu tuutafute kwanza ufalme wa mbingu.... usisahau kuwapeleka leo kwenye ibada ya majivu. tumeanza kwaresma

Mi ntaanza kesho rasmi leo kwenye jukwaa la siasa wamenitengua udhu nikajikuta tusi limeniponyoka
 
Back
Top Bottom