Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
atakuletea aliloletewa asubuhi, lol!Hahahahaaa aisee ni kweli ila mimi bibie anakuja Alhamisi Jioni so atanipa ua muda wa jioni hivyo hapa nimenusurika
atakuletea aliloletewa asubuhi, lol!Hahahahaaa aisee ni kweli ila mimi bibie anakuja Alhamisi Jioni so atanipa ua muda wa jioni hivyo hapa nimenusurika
...kwenye bold ndio akili zenyewe...
...."Samaki mie ..maji yamejaa mdomoni..."
....maradhi ya wasiwasi mabaya kweli..ila ukijua mapema unajua chakufanya....
...hahahahahahahahaha....iman muhimu mkuu...dunia yenyewe hii ina majaribu kibaopole sana mkuu imani yako itakuponya wala usijali............
shaka ondoa.....
ha ha haaaaaaaaaaaa,
binamu, mi ndo maana sitaki special days kwa hayo mambo.......
nitakuletea maua siku yako ya kuzaliwa, sasa ombea au iwe siku ya wapendanao au huyo mwingine muwe mna-share birthday......
...hahahahahahahahaha....iman muhimu mkuu...dunia yenyewe hii ina majaribu kibao
umeona eeh!aahhh binamu kumbe ile umeisomaa ahh ancle atakosa confidensi mbele yako sasa
mi siku yangu ya kuzaliwa tarehe 1/1/..... haiingiliani na ya mtu zaidi ya kuwa mwaka mpyaa we lete tu..
special days utakuta badala ya kuleta maelewano na kuongeza upendo zinaleta mtafaruku kisa tension, sim isipopatikana tu mtu kanuna, msg ya promosheni imeingia usiku oohh nani huyo sikubali tusome wote.
mi mipango ya laretee(pesa) ikikubali kwangu familly na special day kama kawa za kwenye makalenda taabu tupu
ha haaaa, Smile wewe ndo umejikatia tamaa kabisaaaaaa! basi ntamwambia awahi alete kesho ili ulale ukiyaangalia, lol!Nikipata ata asubuhi yake nitashukuru
live......mmmh kwa hewa ama?
ssshhhhhh dada mkubwa!wenzio ndo siku ya kuonyeshana mahaba hiyo bana!usitukate stimu oh!umeona eeh!
huu mwaka wangu wa 6 sijawa jirani na mupenzi siku ya wapendanao.... na ninaona poa tu wala hakuna kinachopungua.
zaidi ya salamu ambazo tunasalimia kila tunaoamka hata kama tumelala pamoja maongezi mengine yanakuwa ya kawaida kabisa....
na hili halijapunguza kabisa hisia zangu kwake....
wizi mtupu!
ha haaaaaa...... endelea tu mlongo wangu, kila watu na stahili yao, lol!ssshhhhhh dada mkubwa!wenzio ndo siku ya kuonyeshana mahaba hiyo bana!usitukate stimu oh!
ahahahhahahhahah kitu ole wake mke asivae gauni jekundu na asiseme I LOVE YU! asubuhi ya hiyo siku!na ole wake mume asinunue maua na asinitoe dinner !nanuunaaaaaajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!
AHAHAHAHHAHAHAH pana chezeya valentine bana!
lol!
umeona eeh!
huu mwaka wangu wa 6 sijawa jirani na mupenzi siku ya wapendanao.... na ninaona poa tu wala hakuna kinachopungua.
zaidi ya salamu ambazo tunasalimia kila tunaoamka hata kama tumelala pamoja maongezi mengine yanakuwa ya kawaida kabisa....
na hili halijapunguza kabisa hisia zangu kwake....
wizi mtupu!
dada mkubwa naweeeeeeeeeeeeee!ha haaaaaa...... endelea tu mlongo wangu, kila watu na stahili yao, lol!
dada mkubwa yeye val yake ni kila siku..... kwa hiyo siku hiyo nayo ni just another day.....
gauni jekundu sijawahi kuvaa, na ole wako sare ya harusi ya binti mchague nyekundu.... nitakuja na gauni jeupe sare na bibi harusi, lol!
ha haaaa, watoto wangu wameshakuwa kwenye huo mfumo....hayo ndio maisha kuishi kwenye uhalisia na mazingira yetu huu uspecial special unacomplicate sana mambo... ukiuwezea kila siku sikuu full shangwa hongera binam kwa kulijua hilo, kazi kwa watoto wetu kuelewa hivyo
ha haaaa..... nilikuwa nakucheck tu!dada mkubwa naweeeeeeeeeeeeee!
ahahahahha binti K mie au nani wa kusubiri valentine ndo niseme nimwite
kuch kuch hotae ,ahahahahhah we!
MIMI LEO VALENTINE,JANA ILIKUWA VALENTINE,KESHO VALENTINE KESHO KUTWA VALENTINEha haaaa..... nilikuwa nakucheck tu!
happy vals day swthrt, lol!
ha haaaa, watoto wangu wameshakuwa kwenye huo mfumo....
yale mambo ya xmas nguo mpya, viatu vipya, pilau, kuku..... hayapo kwangu.....
sikukuu tunaenda church na nguo zetu za mwaka juzi tukifika nyumbani tunasonga ugali wetu sikukuu imeisha......
siku ambayo sitakuwa na hela ya kununua nguo ya xmas wala sitajisikia vibaya na watoto hawatashangaa.....
nakumbuka kuna siku tukiwa wadogo tumetoka church (ilikuwa Jumapili ya kawaida tu) tukakuta home kumepikwa wali..... dogo akamwambia mama imekuwaje sikukuu hatujanunuliwa nguo mpya? mama akauliza kwani leo ni sikukuu? dogo akajibu sasa mbona umepika wali mchana? tulizoea wali mchana unaliwa sikukuu tu na hapo tunakuwa tumenunuliwa nguo mpya