Album ya 2pac ya All Eyez On Me

Album ya 2pac ya All Eyez On Me

Life goes on
Jamaa alikuwa na kipaji cha halo ya juu sana,
Kifupi zamani ndio kulikuwa na muziki unaitwa hip hop
 
Life goes on
Jamaa alikuwa na kipaji cha halo ya juu sana,
Kifupi zamani ndio kulikuwa na muziki unaitwa hip hop
nilikuwa nakapenda haka ka track. enzi hizo siwezi nunua kanda nzima. nanunua kanda empty kisha na "burn". harafu majina naandika na pen. Kuna vishkaji vya Outlaw vilikuwa vinachana balaa.
 
First time i fell in love with Tim boots...!


Hahahahha,
Ebwanaah eeeh kipindi hiki majinsi mapana ya Johnny Blaze na mshati mrefu wa Wu-tang ndiyo ulikuwa mpango.! Halafu lazima upige kikapu ndiyo unakuwa mjanja wa kitaa...
 
Hahahahha,
Ebwanaah eeeh kipindi hiki majinsi mapana ya Johnny Blaze na mshati mrefu wa Wu-tang ndiyo ulikuwa mpango.! Halafu lazima upige kikapu ndiyo unakuwa mjanja wa kitaa...
Hivi ushawahi kucheza kwa Kimario au kule jeshini Masaki mwisho?
 
Kikawaida mtu maarufu anapofariki, hupata umaarufu zaidi.
Nina uhakika mtu kama Nas (God forbid!) angekuwa amefariki haswa kwa kuuliwa, amgekiwa maarufu sana sasa hivi.
Ila ni kweli Pac alikuwa mwana mashairi mahiri sana, utunzi uliotukuka.
 
Hivi ushawahi kucheza kwa Kimario au kule jeshini Masaki mwisho?
Kucheza Dar mara nadra sana,
Kipindi hichi 90's hadi 20's wazee walikuwa hawapo.
Nilikuwa nikija tu naenda moja kwa moja Iringa kwa Braza kuna sehemu inaitwa Gangilonga ndiyo tulikuwa tunacheza na kina Mike T Mnyalu na Sista wake Anna, Squeezer na wakina Dataz na ndiyo kipindi hiki nilimfahamugi A.Y wakati anasoma Ifunda Tech.......
 
Ha ha ha 2Pac for President!

Jamaa was so influential, ninaamini hata zile conspiracies za kwamba aliuwa na CIA ni za kweli kabisa (esp ukiangalia pia Bob Marley kifo chake na confession ya jamaa wa CIA).

PAC kaacha wafuasi ambao kwao ni zaidi ya dini, PAC is more than a religion to some-people.

Nakumbuka moja ya Russian Official aliwajibu US as:

"I see the decision by the administration in Washington as an acknowledgment of my service to Russia. It's a big honor for me. I don't have accounts abroad. The only things that interest me in the U.S. are Tupac Shakur, Allen Ginsberg, and Jackson Pollock. I don't need a visa to access their work. I lose nothing."

Kremlin Henchman: The Only Thing I Like About America is Tupac (And Sanctions Won't Keep Me From Listening)
 
nilikuwa nakapenda haka ka track. enzi hizo siwezi nunua kanda nzima. nanunua kanda empty kisha na "burn". harafu majina naandika na pen. Kuna vishkaji vya Outlaw vilikuwa vinachana balaa.
Ahahahahaaa
Kina Mussolini,Eid amin na wengineo, halafu sijui kwa nini waliamua kujiita majina ya viongozi madikteta
Ukitaka kupata uhondo wa hao vijana sikiliza tear's drop and close kasket, na still I rise
 
They all died....wa mwisho alikuwa khadaf alikuwa anasema anamfahamu aliye muua PAC nafkiri ndicho kilichomuua....
Kuna ile nyimbo ya Easy E *** ze police...hahaaa....maniga bwana.....
 
Hahahahha,
Ebwanaah eeeh kipindi hiki majinsi mapana ya Johnny Blaze na mshati mrefu wa Wu-tang ndiyo ulikuwa mpango.! Halafu lazima upige kikapu ndiyo unakuwa mjanja wa kitaa...
Hizo ndio zilikuwa pamba za wanaume mpaka kesho,ndio mana kina Dr. Dree bado wanapiga hiyo mikato
wa siku hizi wanavaa tight kama Dada zao
 
Yaani nikisikiliza hii Album napata imani 2Pac is still alive....Zaidi ya miaka 20 tangu afe ila anaishi kwa muziki wake....View attachment 732270

Best 2pac album ever,which made me love hiphop is a 1995 album Me Against The World!

This was hungrier 2pac!

IMG_0823.JPG
 
2pac as a rapper is/was average but as a conscious black nicca influencing others that its possible and we can make it to the top from the ghettos was amazing...but from rapping-technique point of view Christopher George Latore Wallace a.k.a Notorious B.I.G biggie smalls frank white Big poppa is/was the best to ever do it.


Mkuu

Im with you!

Biggie made niggaz sing for a living!

His delivery was outta this planet!
 
Back
Top Bottom