Albino mwingine apoteza mkono Shinyanga

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Watu wasiojulikana wamemkata mkono binti mwenye ulemavu wa ngozi(albino),kisanga hicho kimetokea usiku wa juzi kuamkia jana,inadaiwa kuwa watu hao walitumi jiwe kubwa maarufu kwa jina la FATUMA,kwa kuvunja mlango wa chumba alichokuwa akilala na wenzie!
Baada ya watu hao kuingia walikata mkono wa binti huyo na kutimka nao,polisi haijafanikiwa kuwakamata na inaendelea na msako
 
Inasikitisha sana kwa kweli nimeona picha ya huyo mtoto kweny Tv..

Unashindwa kuelewa sisi mbona tumekuwa kama wanyama huyo mtoto wamempa kilema cha maisha yeye mwenyewe Albino inauma sana..
 
Inasikitisha sana kwa kweli nimeona picha ya huyo mtoto kweny Tv..

Unashindwa kuelewa sisi mbona tumekuwa kama wanyama huyo mtoto wamempa kilema cha maisha yeye mwenyewe Albino inauma sana..

sidhan kama elim inahtajika kukemea mauaji haya!wauaj wanajua wanachokifanya ni KOSA!
 
Mungu wangu,, hivi hawa wauaji wana roho za kibinadamu kweli!. Waganga wa kienyeji wanachangia ktk haya mauaji.
 
sidhan kama elim inahtajika kukemea mauaji haya!wauaj wanajua wanachokifanya ni KOSA!

Kweli hakuna elimu hapo wala huu unyama wanaoufanya hauitaji msamaha wowote zaidi ya kunyongwa..

Hata kama mtu ajaenda shule hawezi kufanya unyama huu
 
Hakika huu ni muswiba mkubwa sana wa maadili na imani kwa watanganyika.
Ni ukatili uliovuka mipaka.

Inna Lillahi wainna ilaihi rajihunna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom