.... kwa nchi kama Tanzania uraia wa mtu ni rahisi sana kuthibitishwa,mamlaka husika wafanye kazi yao tu....lakini ole wao wahamiaji haramu walioko ktk ardhi hii.Wakili huyu maarufu ameshutumiwa kuwa sio raia wa Tanzania.wazazi na ndugu zake wahojiwa kuhusu suala hilo.
=======Updates =======
Hilo saliti ukilicheki ni kama mbegu ya kitusi hivi!
-ha!ha!ha!haaa! Msando bwana eti wakili msomi!
Chadema for life.
Acha uvivu kama umeweza kubrowse Jf unashindwa vipi kupitia blogs mbalimbali?
Mimi sijashitaki!!yaani ziletwe tuhuma halafu ushahidi tukatafute wenyewe? ni jukumu la anayeshitaki kuleta ushahidi. Kuna ugumu gani wa kulink kwa a "great thinker"?
Msando ni mhutu bandugu. Juu tulizaliwa kijiji moja
Alipataje sifa za kujiunga na CHADEMA ilhali sio raia wa Tanzania? Kumbe CHADEMA hawako makini kabisa.
High school kasoma Ilboru (HGL). Yeye aliingia Ilboru July 1997 ilhali kaka yake George Mwaria aliingia ILboru (A-level, the same school) mwaka 1994. Nawafahamu wote na walijulikana kama wachaga kutoka Moshi. Hii ya kutokuwa raia ni habari mpya kabisa!
Hakuna stateless person in this world according laws of nationsNi stateless person kama alivyojiuliza!
Well, hatujui ni raia wa wapi, na hatuna evidence za alizaliwa wapi akaja akasajiliwa wapi, tunachojua ni kwamba anadaiwa yeye sio Mtanzania.Ni Raia Wa Wapi Na Evidence Zipi?
Huyo albert msando ni nai hatumjui ana msaada gani kwa nji hii??
Mbona hata wenje sio raiya ,hata mbowe kuna taarifa kuwa ana asili ya somalia
Ni mwanasheria wa Zitto na diwani wa CDM huko Moshi vijijini.Huyo albert msando ni nai hatumjui ana msaada gani kwa nji hii??
Labda vigezo walivyotumia ni vipi?
Sidhani kama hawajui kwamba yeye ni Mtanzania kindakikindaki bali kutakua kuna jambo jingine wanamtafuta! Hii kitu nikidhani wanasumbuliwa Kagera na Kigoma kumbe sasa hata Kilimanjaro imeanza?! Ajabu hawahangaiki na Matajiri wa Kiarabu na Kisomali wanao hujumu Taifa kwa kupora wanavyotaka na kuchangia CCM makombo!