Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
Huyo Msando hana lolote zaidi ya kujikomba komba tu kusudi na yeye apate uteuzi"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.
Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.
Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.
Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
Tatizo njaa ndiyo inayo mpelekeshaAlbert anapenda kubeti.
Huyu hata kwa bure hafai kabisa makashfa kibaoNdo Tumpe Tanganyika Law Society Huyu[emoji41]
Hafai kabisa huyo MsandoAlijuaje kuwa analala masaa mawili tu..Pathetic ..Eti huyu nae ni Msomi...Njaa na kujipendekeza ni tabia zinazomwondolea mtu heshima yake. Tuache tabia hizi mbaya , haya ni yaliyopita ..Tujifunze kuwa objective...Inakuwaje unatestify kuwa Mwanaume mwenzako analala masaa mawili tu..wakati hauishi nae...Daaah! Bongo Dar~es~salaam.
Anavyopenda kupiga K-vantKumbe huwa wanalala pamoja.
Nakazia "HUYO NI ROBOTI"Ni mtu ambaye analala masaa mawili ata kama amelala sa 9 ataamka saa 10. Huyu ni roboti kabisa sio binadamu wa kawaida