Albert Msando apotoka tena

Asante sana Mkuu@mwaikenda, sasa nyie badala ya kwenda serena nyookeni jangwani kwenye mahakama ya umma.

Zitto tupa kule!!

Heri Kutumia akili kulko kutumia ruzuku kununulia nyumba za mwkt dubai vp ruzuku inafka mikoan????? Au inaishia bils
 

Hivi ndani ya chama chenu hamna mechanisms za kuyamaliza hayo malumbano yenu bila ya kwenda Serena na kuitisha presser?

Na dhumuni la wewe kuitisha presser lilikuwa nini?

Hivi hamjui kwamba mnavyolumbana hadharani hivi mnaipa faida CCM na kutupoteza hata sisi tusio na vyama (independents) lakini ambao tulikuwa tunawaona CHADEMA mna potential?

Hamna ma-strategists humo kwenye chama chenu? Maana mnachofanya sasa ni very amateurish. Mnamrahisishia kazi Mwigulu na wenzake. Kwanza sasa hivi Mwigulu wala hana hata haja ya kuwarushia madongo maana mnajimaliza wenyewe tu.

Tatizo lenu ni nini? Njaa ndo inawasumbua? Good grief!!!!!!!!!!!!!! Y'all suck.
 
Ben:

1. Ni nini ambacho nimepotosha?

2. Ni kashfa gani nimetoa dhidi ya chama?

3. Ni uzushi gani nimefanya dhidi ya chama?
 

Msando umepotoka sana;

1. Chama kikifa leo kwa uharamia wa hao unaowatetea utaendelea kuwa Diwani?

2. Kuwa Diwani kwa karata ya CHADEMA tayari una mgongano wa maslahi na Chama kama ambavyo Kanuni niliyonukuu inatamka bila kujali ngazi yako ya uongozi.

3. Rudia kusoma press statement yako kuwa hujapata mwenendo ya taarifa kamili ya Kikao husika, narudia tena wewe ni Baraza Kuu?

4. Siku 14 ambazo taarifa ya mwenendo wa Kikao inatakiwa kufika Baraza Kuu, lipo wapi hilo Baraza Kuu? Nakupa taarifa kuwa Baraza Kuu linapokea taarifa zake zote toka Kamati Kuu ndipo lijadili kwa hiyo kivuli mnachokimbia wewe na maharamia wenzako lazima mtakikuta tu.

5. Kama dharura sio haraka tueleze maana nyingine ya dharura. Maana huyo unayedai kumwakilisha aliitwa kwenye kikao husika na akaomba kujiuzulu nyadhfa zake zote Kamati Kuu ikakataa je hilo hajakuambia?

Endelea tu. Si muda mrefu hatua mwafaka naamini zitachukuliwa dhidi yako mkateteane vizuri mbele ya safari
 

Watuhumiwa kupewa barua ya kujieleza kwa siku 14 matakwa ya kikanuni na kikatiba yalitimizwa?

Je,mtu anapoomba ajiuzulu halafu ukamkatalia badala yake ukaazimia kumsimamisha kinyume na matakwa yake ya kutaka kujisimamisha imeathiri matakwa ya kikatiba?
 
Ndugu
Yaonekana unatafuta public attention,akina KIMOMOGORO hawakupata umaarufu kwa njia unayotaka kupita.
 

Kwa hiyo mtuhumiwa wako alitakiwa akajibu Mashtaka yake Serena Hotel kwa waandishi wa Habari??

Huoni udhalilishaji unaoufanyia Kamati Kuu ya Chama??

Unaona ni Halali Ukumbi wa Serena unaotumika kujibu hoja za Kamati Kuu ulindwe na Vijana wa CCM??

Vipi mteja wako mwingine umemshauri akimbilie kwa Msajili?

Ukijipima wewe mwenyewe unajiona bado una sifa za kuwa mwanachama wa Chadema??
 

Ruzuku ndio tatzo mtei saccos wanafkiria wakikosa nafas majumba ya mwkt huko dubai watanunua vp na mtaji wa kulpa wanywa vroba wanaoshnda jf utatoka wap mtu mmoja ana id 20 chezea vroba vya ufpa wewe!!!!!!
 
100%

chadema wamekua kama wanawake wa ngomani... full time kusutana tu

its a disgrace

Take a break mkuu!!!

chadema hawasutani bali wanajibu upotoshaji wa ccm na wasaliti wake.

Ukumbuke Zitto ni mwanaccm mwaminifu anayepotosha ukweli!!

Zitto weka mbali na CHADENA!!
 

Hoja namba 5 hapo umeniwahi mkuu.Thanks
 

Kupokonywa tonge mdomoni inauma mkuu
 
Take a break mkuu!!!

chadema hawasutani bali wanajibu upotoshaji wa ccm na wasaliti wake.

Ukumbuke Zitto ni mwanaccm mwaminifu anayepotosha ukweli!!

Zitto weka mbali na CHADENA!!

Mkuu, wanahubiri compliance kwa katiba mihadhara na sio vikao vya chama
 

Una hoja za msingi.

Hata hivyo naona kunaanza kuibuka plethora of threads za kukushambulia. Lengo ni kukutoa kwenye focus. I believe you will remain focused.

May be nyinyi wachache mtakuwa chachu ya kuifanya Chadema kuwa chama cha wanachama. Msikate tamaa...
 
Ben:

1. Ni nini ambacho nimepotosha?

2. Ni kashfa gani nimetoa dhidi ya chama?

3. Ni uzushi gani nimefanya dhidi ya chama?
Msando
Kwanza wananchi wa arumeru waliolipa mamilioni wapewe viwanja mkabaka sheria wewe na MAWALA wanataka viwanja vyao mlivyochukua pale GOMBA ESTATE na BURKA la sivyo CHUNGU KITAWATAFUNA.
 
Vipi kuhusu kupatiwa mashtaka kimaandishi kabla ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu?


Msando ngoja tuone wewe ZZK, Kitila na Mwigamba VS chama sisi wanachama nani mshindi. Tumesema hatumtaki mteja wako, hatukutaki wewe na hatutaki lolote kutoka kwenu. Mnakifanya sasa sio utetezi ni kampeni ya kuibomoa CDM. Kama diwani unajua vizuri sana maelezo sio sehemu ya kuwasilisha utetezi wa wateja wako. Unachokifanya ni siasa na unatumika ama wewe ndio MM2. Ninaamini kabisa wewe ni masalia group. Eti wasomi wenye uchu mnataka kupindua chama. Mtasoma namba.
 
Hivi hizi pesa anazomwaga bwana zitto kwa watu kama hawa si angejiwekea hifadhi zikamsaidia baadae? au ndo sikio la kufa halisikii dawa?

Angesomesha watoto yatima huko Mwandiga angepata baraka zaidi kuliko kuwapa akina Msando na waandishi kwenye Bahasha
 

Akina lisu na marando wanaposmamaga mahakamani kutetea kna mramba mbona hawajajiuzulu usizungumze ktu kama hujui sheria uwakili ni kazi na si siasa usishangae mbowe ambae napenda kumuita mwkt wa kudumu kupata kesi dhidi ya wazri wa ccm na lisu na marando kuwa mawakili wa wazri wa ccm na wakili wa ccm I.e chenge akamtetea mbowe cz uwakili si kutembea na sumu ni ethcs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…