Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Huyu kenge anataka kujipatia umaarufu kwa njia za magendo
Tuhuma dhidi ya Zitto ni kutokana na Waraka wa Mwigamba ambao unasemekana ni Mkakati wa Ushindi wa Uchaguzi wa ndani ambao uliandaliwa kwa siri.
Mkakati huo kutokana na maudhui yake unasemekana kukashifu viongozi, kutoa tuhuma za uongo, kujenga makundi, kuchonganisha wanachama na viongozi na kutaka nafasi za uongozi bila kufuata utaratibu.
Lengo langu ni kuhakikisha taratibu tulizojiwekea zinafuatwa. Endapo ukiukaji wake unasababisha haki isitendeke na isionekana imetendeka hatuna budi kukubali kwamba tumekosea na kuchukua hatua stahiki kurekebisha.
Lazima tuaminiwe kwamba tunafuata Katiba na Kanuni zetu kama chama. Tunapokosea turekebishe. Sio dhambi kujirekebisha ukikosea. Ni ukomavu.
Albert,
Aya ya kwanza,Sijui huu upotoshaji una malengo gani.Hakuna mahali popote nilikosema anayetukosoa ni mwenzetu au si mwenzetu.
Hujajibu swali langu kuwa je,wewe kama mwanachadema halisi unayejua kanuni,maadili,itifaki na katiba ya CHADEMA unakubaliana na hizo rhetorics za vichaka vitatu?To me that's just another rhetorical hogwash.Wewe umekwepa kujibu
Pili,Utamtenganishaje Albert na wale wanaokidhalilisha chama kwenye media badala ya kufuata kanuni na taratibu?Yaani ushiriki mchezo huu moja kwa moja halafu unalaumu watu kufanya mjadala kuwa Albert na CHADEMA?
Albert,Wewe ni Msomi na unajua impact ya unachofanya katika Jamii na kama mwanasiasa unajua madhara ya unachofanya.Hao maadui zetu unawalaumu kama njia ya ku-blind watu na kutaka ku-divert attention na attitude za watu towards reality ya kile unachofanya/mnachofanya.
Hao maadui zetu wewe na wateja wako ndio mnawapa platform hii na hata hapa wanakupa sapoti na kuandika maaneno unayokubaliana nayo.Watu hao siku zote wapo huku wakiitukana CHADEMA,Pia nenda kasome magazeti ya maadui zetu uone jinsi walivyoshikilia bango haya mliyoyafanya jana pale Serena Hotel.Leo kweli unawalaumu maadui zetu?
Hebu tufikie hatua tuache unafiki.
By the way,Kulikua na haja gani ya wewe kwenda kufanya Press Conference badala ya ku-address hili ndani ya vikao?Kama wewe ni Mwanasheria wao tena kwa bahati nzuri ni Diwani,ni kiongozi na Mwanachama hai Wa CHADEMA,kwanini usifuate taratibu na hata kama ni utetezi ukaupeleka kwenye vikao?
Leo unalaumu wanaokushambulia?Hebu tuache unafiki Brother na tuweke maslahi ya taasisi juu ya urafiki.
Hebu Tuwe principled sasa!
dharura sio haraka.......... naomba kunukuu
Umaarufu unadhani utanisaidia nini Mkude? Sihitaji umaarufu hata kidogo. Mbona haukusema haya wakati nilipomtetea Mh. Mbowe; Mh. Ndesamburo; Mh. Nassari; Mh. Lema nk kwenye kesi zao?
Kwa hiyo ghafla nakuwa kenge nikitetea Kanuni na Katiba ya chama kisa tu anayehusika ni Zitto?
Naamini kwenye hukumu na adhabu kwa mujibu wa Katiba na Kanuni. Niko tayari kuadhibiwa, kutukanwa, kudharauliwa, kuonekana mjinga nk lakini Katiba na Kanuni LAZIMA ziheshimiwe na kufuatwa.
.....
Nadhani wewe ndio unatakiwa kutiliwa mashaka uwezo wako wa kuelewa sheria maana unaonegea mambo ya kusikia pasipo kuwa na facts. Kwenye huo waraka kuna mahali popote jina la Zitto Kabwe limetajwa? Hata kama lingekuwa limetajwa kuna ushahidi kuwa alihusika kuuandaa? Leo mimi nikiandaa waraka nikaweka jina la Mbowe utalazimisha kuwa Mbowe anaufahamu? Mbona CDM wanataka watu waamini kuwa Video ya Lwakatare ni ya kutunga lakini haohao hawataki kukuli kuwa ZZK hausiki na kuandaa waraka Leta ushahidi kuwa alihusika kuandaa nasi tutakuamini.
Jaribu kuwa great thinker acha kusukumwa na chuki binafsi, mhukumu mtu basing on facts beyond reasonable doubts siyo kwa kusikia story za kwenye vijiwe vya kahawa.
Kanuni,maadili,utaratibu sijui nini hivyo ni vichaka vya watawala dhidi ya watawaliwa!!!!!Kutaka kukaa huko as if ni postmorteum/sorcery kwa nini usiri kama manufaa ni ya chama na na nchi kwa ujumla wake???!!!!Nini siri hapa mpaka kuitisha press iwe dhambi??!!!!Mnapigania kumkomboa Mtanzania na wakati huo hamtaki apate habari ya chama chake na viongozi???!!! Retrograde agenda????!!!!!
Ndio haya mawazo ya kuwa Bunge lisiwe live yaanza hivyo kichwani kwako!!!!!
Hogwash itajukikana tu as watu wanasoma na wana akili timamu ndio maana tunataka uwazi na ukweli ili kila hatua iwe wazi kwa umma kama mnavyoomba kura kwa uwazi!!!!!!! Liache likae wazi kadri iwezekanavyo kwa manufaa ya umma kwa upana wake hii ndio transparency na ni sehemu ya demokrasia mnayohubiri!!!!!
Hivi kweli dhamira ni Watanzania hawa?????!!!!
Albert,
Aya ya kwanza,Sijui huu upotoshaji una malengo gani.Hakuna mahali popote nilikosema anayetukosoa ni mwenzetu au si mwenzetu.
Hujajibu swali langu kuwa je,wewe kama mwanachadema halisi unayejua kanuni,maadili,itifaki na katiba ya CHADEMA unakubaliana na hizo rhetorics za vichaka vitatu?To me that's just another rhetorical hogwash.Wewe umekwepa kujibu
Pili,Utamtenganishaje Albert na wale wanaokidhalilisha chama kwenye media badala ya kufuata kanuni na taratibu?Yaani ushiriki mchezo huu moja kwa moja halafu unalaumu watu kufanya mjadala kuwa Albert na CHADEMA?
Albert,Wewe ni Msomi na unajua impact ya unachofanya katika Jamii na kama mwanasiasa unajua madhara ya unachofanya.Hao maadui zetu unawalaumu kama njia ya ku-blind watu na kutaka ku-divert attention na attitude za watu towards reality ya kile unachofanya/mnachofanya.
Hao maadui zetu wewe na wateja wako ndio mnawapa platform hii na hata hapa wanakupa sapoti na kuandika maaneno unayokubaliana nayo.Watu hao siku zote wapo huku wakiitukana CHADEMA,Pia nenda kasome magazeti ya maadui zetu uone jinsi walivyoshikilia bango haya mliyoyafanya jana pale Serena Hotel.Leo kweli unawalaumu maadui zetu?
Hebu tufikie hatua tuache unafiki.
By the way,Kulikua na haja gani ya wewe kwenda kufanya Press Conference badala ya ku-address hili ndani ya vikao?Kama wewe ni Mwanasheria wao tena kwa bahati nzuri ni Diwani,ni kiongozi na Mwanachama hai Wa CHADEMA,kwanini usifuate taratibu na hata kama ni utetezi ukaupeleka kwenye vikao?
Leo unalaumu wanaokushambulia?Hebu tuache unafiki Brother na tuweke maslahi ya taasisi juu ya urafiki.
Hebu Tuwe principled sasa!
Alizodoa nalo lipo kwenye kamusi ya Kiswahili...
Wanafunzi wako wanapata tabu sana.
Nadhani wewe ndio unatakiwa kutiliwa mashaka uwezo wako wa kuelewa sheria maana unaonegea mambo ya kusikia pasipo kuwa na facts. Kwenye huo waraka kuna mahali popote jina la Zitto Kabwe limetajwa? Hata kama lingekuwa limetajwa kuna ushahidi kuwa alihusika kuuandaa? Leo mimi nikiandaa waraka nikaweka jina la Mbowe utalazimisha kuwa Mbowe anaufahamu? Mbona CDM wanataka watu waamini kuwa Video ya Lwakatare ni ya kutunga lakini haohao hawataki kukuli kuwa ZZK hausiki na kuandaa waraka Leta ushahidi kuwa alihusika kuandaa nasi tutakuamini.
Jaribu kuwa great thinker acha kusukumwa na chuki binafsi, mhukumu mtu basing on facts beyond reasonable doubts siyo kwa kusikia story za kwenye vijiwe vya kahawa.
molemo usimpigie huyo mpuuzi.. mwambie ampigie Zitto au mchange...
nwa nalo ni kiswahili kazi kweli kweli...
Albert,
Aya ya kwanza,Sijui huu upotoshaji una malengo gani.Hakuna mahali popote nilikosema anayetukosoa ni mwenzetu au si mwenzetu.
Hujajibu swali langu kuwa je,wewe kama mwanachadema halisi unayejua kanuni,maadili,itifaki na katiba ya CHADEMA unakubaliana na hizo rhetorics za vichaka vitatu?To me that's just another rhetorical hogwash.Wewe umekwepa kujibu
Pili,Utamtenganishaje Albert na wale wanaokidhalilisha chama kwenye media badala ya kufuata kanuni na taratibu?Yaani ushiriki mchezo huu moja kwa moja halafu unalaumu watu kufanya mjadala kuwa Albert na CHADEMA?
Albert,Wewe ni Msomi na unajua impact ya unachofanya katika Jamii na kama mwanasiasa unajua madhara ya unachofanya.Hao maadui zetu unawalaumu kama njia ya ku-blind watu na kutaka ku-divert attention na attitude za watu towards reality ya kile unachofanya/mnachofanya.
Hao maadui zetu wewe na wateja wako ndio mnawapa platform hii na hata hapa wanakupa sapoti na kuandika maaneno unayokubaliana nayo.Watu hao siku zote wapo huku wakiitukana CHADEMA,Pia nenda kasome magazeti ya maadui zetu uone jinsi walivyoshikilia bango haya mliyoyafanya jana pale Serena Hotel.Leo kweli unawalaumu maadui zetu?
Hebu tufikie hatua tuache unafiki.
By the way,Kulikua na haja gani ya wewe kwenda kufanya Press Conference badala ya ku-address hili ndani ya vikao?Kama wewe ni Mwanasheria wao tena kwa bahati nzuri ni Diwani,ni kiongozi na Mwanachama hai Wa CHADEMA,kwanini usifuate taratibu na hata kama ni utetezi ukaupeleka kwenye vikao?
Leo unalaumu wanaokushambulia?Hebu tuache unafiki Brother na tuweke maslahi ya taasisi juu ya urafiki.
Hebu Tuwe principled sasa!
Kanuni ,Maadili na hata katiba nzima ilitungwa na watu kwa ajili ya watu na ndio muongozo katika hilo unaloita uwazi.Tusipoheshimu katiba yetu wenyewe hatuwezi kuheshimu katiba ya nchi na wala miiko na maadili ya uongozi pamoja na Tunu za Taifa tunazolilia kwenye constitutional Draft
Umaarufu unadhani utanisaidia nini Mkude? Sihitaji umaarufu hata kidogo. Mbona haukusema haya wakati nilipomtetea Mh. Mbowe; Mh. Ndesamburo; Mh. Nassari; Mh. Lema nk kwenye kesi zao?
Kwa hiyo ghafla nakuwa kenge nikitetea Kanuni na Katiba ya chama kisa tu anayehusika ni Zitto?
Naamini kwenye hukumu na adhabu kwa mujibu wa Katiba na Kanuni. Niko tayari kuadhibiwa, kutukanwa, kudharauliwa, kuonekana mjinga nk lakini Katiba na Kanuni LAZIMA ziheshimiwe na kufuatwa.
Kaka MsandoAlberto kutenda mema hapo awali si ticket ya kutenda mabaya sasa.
Hata Zitto naye huwa ana utetezi wa kitoto kabisa kama huo wako lakin bora yeye ugonjwa tunauelewa wa kupenda sifa na majivuno lakin je kwa wewe mtaaluma wa sheria kabisa ?
Sasa pale kaathiri nini mkuu maana taratibu na vitu kama hivyo visizuie haki ya msingi kupata habari!!!!! Kila kitu kinafanywa kwa ajili ya watu na.watu hawa ndio wamepewa taarifa sasa shida nini, ni sababu hoja haijapelekwa "vichakani" sio????!!
Watu wengi hatujui sheria sasa yeye kutoa highlights kwa uwazi shida nini????!!! Katiba itaheshimiwa vizuri baada ya watu kuijua na kaanzisha si unaona elimu inayotoka sasa kwa wadau mbali mbali hili wewe huoni linakuza uelewa wa katiba husika?????!!!
Kwani ni kweli mliteleza kimaamuzi????!!!!!
Hivi unajua hata katiba ni kichaka kikubwa sana ambacho wenye madaraka wanajifichamo na mchakato wake unajua kwa nini una mtifuano????!!!!!