Nn maana ya demokrasia?kma swala haljapatikana muafaka ndan ya chama hachukue hatua gan?katiba ya chama ni ya kidikteta nafkria inapnga wanachama kwenda mahakaman il iwakandamize kwa maslai ya wachache.shame chadema
Ninavyomjua Zitto anaweza akawapiga U-turn hata ACT mkashangaa anaingia TLP au NRA...Ngoja muone siku atakapoamua...Ila kwa upande wangu naomba Spika Makinda asikubaliane na CDM amwache mpaka bunge litakapovunjwa July, maana jamaa bado anamajukumu makubwa ya kumalizia eg Escrow, TPA, Pesa zilizoko Uswis etc
Tutammis sana kwenye Bunge lijalo, au ikiwezekana awe mbunge wa kuteuliwa kama Mbatia..maana jamaa bado tunamhitaji sana kwenye siasa za Tanzania ya leo.
Kwani Chadwna ina Katiba?, na je inasemaje kuhusu ukomo wa uongozi.katiba ndio iliyomfukuza
CHADEMA watamkumbuka sana ZITTO.
haha kwa hili CCM hauatarudi nyuma CCM kazeni Buti tu Siasa za Upinzani maji taka tu zinaishia bungeni mtaani nothing nchi ya kwenu
Swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza ZITTO?
Hakuna mwanasheria mzembe kama huyo Msando, anyway Zitto atakuwa m/kiti na yeye mwanasheria mkuu wa ACT ila wanasafari ndefu sana kuwaconvince watanzania wakubaliane na unafiki wao. Na ajue kwamba hakuna mtu aliyemfukuza Chadema but KATIBA DID, it has power over everyone.
- Mnasema haya maswali yameandikwa na Mwanasheria? Pole sana Zitto I hope now utajifunza na hawa wanasheria wa Instagram
- Le Mutuz
Swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza ZITTO?
Huyo msando Alberto asijitie umajinuni hiyo ndo katiba iliyomweka mabogini kama alijua sio ya kidemokrasia angeenda TLP mshamba sana huyo kama vipi aende nae ACT hatutaki virusi chadema
Matusi ya nini! kwani mtu kutofautiana na mawazo yako ni dhambi pongezeni watu wanaofikiria tofauti na nyie ndio wanao wajenga hao hata kama wako wachache.