Albert Mangwea is Dead!


hivi hizi nyimbo wanazo imba huwa zinamaanisha wanayo yaimba!!!
 
Last edited by a moderator:
celewiii ila kama naic!!!

soma hapa mkuu vizuri -------->

[h=5]Sam Misago
[/h][h=5]Taarifa Nilizo Pata Kutoka South Africa Kutoka Kwa Hussein Original Ambaye Yupo Pretoria Amesema Ngwear Amefariki Leo Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na Msanii M To The P. Walivyokwenda Kuwagongea Asubuhi Walikuta Ngwear Amefariki Na M To The P Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa Watu Wa Karibu Wa Ngwear Huko South Africa. Wanasema Alilala Amelewa Sana.
[/h]
 
Atakuwa alitumwa madawa na rizione maana huyu matoto wa mkuu wa kaya kwa madawa amezidi na hasa tabia ya kuwatumia wasanii...
 
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio Clouds FM, Mwanamuziki wa kizazi kipya Albert Mangwea amefariki leo huko Afrika ya Kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata watatupasha. RIP Mangwea.
redio ya washika ukuta kwa kushobokea ila wajue Lady Jay de akifa hakuna kumtangaza hata mimi nikifa hakuna kunitangaza...
 
Rafikiye aitwaye Gudluck(Mtz) wa huko South anasema had jana ucku kalala fresh na leo ilikuwa arudi huku Tz bt hakubahatka kuiona asbh wenzie wamemkuta getho keshapoteza ndo wakampeleka hosp kuthibtsha na kupata post moterm lkn wameshndwa kuelewa kikristo cha dokta alokiandka kwa paper.
 
this is too bad...too young to die brother...RIP mangwear
 
chidy benz aliwahi kumkimbiza akitaka kumpiga maisha club
 
Kajipumzikia kama alivyosema mwenyewe "Kimyakimya".


May all beings attain enlightenment.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…