Kwa mujibu wa matangazo ya Radio Clouds FM, Mwanamuziki wa kizazi kipya Albert Mangwea amefariki leo huko Afrika ya Kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata watatupasha. RIP Mangwea.
millard ayo #BREAKING : Msanii ALBERT MANGWEA
(Ngwair), amefariki dunia leo akiwa
Afrika Kusini, rafiki anasema hakuamka
toka jana alipolala. taarifa zaidi
zinaendelea kuja #R .I.P
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio Clouds FM, Mwanamuziki wa kizazi kipya Albert Mangwea amefariki leo huko Afrika ya Kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata watatupasha. RIP Mangwea.
Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.