Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
The Game alitangaza kuumaliza muziki wake kwa album yake "Born 2 Rap" ambayo ni ya 9 na itakuwa ya mwisho katika maisha ya muziki.
Mkali huyo wa Compton ameitumia instagram kuweka wazi kwamba mzigo huo utadondoka mwezi October mwaka huu.
Album hii ni ya kwanza kwa Game tangu ile ya mwisho kuitoa iliyoitwa "1992" ya mwaka 2016. Ndani alitaja uwepo wa vichwa kama Ed Sheeran, Meek Mill, 21 Savage, Migos na wengine
Chanzo: MwananchiMzalendo