Albamu mpya na ya mwisho kabisa ya 'The Game' Kutoka Mwezi Oktoba

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
The Game alitangaza kuumaliza muziki wake kwa album yake "Born 2 Rap" ambayo ni ya 9 na itakuwa ya mwisho katika maisha ya muziki.

Mkali huyo wa Compton ameitumia instagram kuweka wazi kwamba mzigo huo utadondoka mwezi October mwaka huu.


Album hii ni ya kwanza kwa Game tangu ile ya mwisho kuitoa iliyoitwa "1992" ya mwaka 2016. Ndani alitaja uwepo wa vichwa kama Ed Sheeran, Meek Mill, 21 Savage, Migos na wengine

Chanzo: MwananchiMzalendo
 
Ndio nani Huyo mkuu...!!??
Alafu kwanza naona kama amechafuka mikononi kana kwamba haogagi...teh
 
Kwenye hiyo picha yule jamaa kule nyuma mkono mmoja kashika Camera na mwingine unafanya nini?

Hao watu walikuwa na uelewa na tukio linaloendelea?
 
Back
Top Bottom