Albamu bora ya Kanisa Katoliki

Kwaya za Arusha sasa hivi zimedoro kweli...Zilikuwa kiboko...

Moyo Safi wa B/Maria Ungalimited hawa ni balaa bana wakiimba unaweza sema kanisa linataka poromoka...
 
Kwaya za Arusha sasa hivi zimedoro kweli...Zilikuwa kiboko...

Moyo Safi wa B/Maria Ungalimited hawa ni balaa bana wakiimba unaweza sema kanisa linataka poromoka...

Mbona bado kuna vitu na kuna siku Mamndenyi aliweka wimbo wao mmoja humu unaitwa NAVUMILIA TU
 
Last edited by a moderator:
hubirini kwa kuimba st maurus kurasini humo utakuta wimbo bwana ni nuru yangu
 
Yes ni albam nzuri sana hyo. Ila unaweza ukacheki na albam ya kwaya ya watakatifu mashahidi wa uganda- Singida inaitwa tunu za kikristo ni nzuri sana mkuu.
 
nisaidie link ndugu yangu nahangaika sijapata
 
Wazo zuri sana hilo..hebu lifanyie kazi mkuu..Tumsifu Yesu Kristo

Aisee nyimbo katoliki za zamani zilikuwa bomba mbaya mkuu,kuna wimbo unaitwa nalikuwa nimelala,aagghh ni balaaa,unaamsha ari ya kumpenda kristo,ingekuwa kule kwa wapenda sifa na kujikweza tungesema una upako
 
Mwenye mikono safi na moyo mweupe hata hupanda mlima wa bwana,kirumba Mwanza. Mtunzi marehem Karu,ukiimbwa kanisa zima linaimba.
 
Napata kominio mwaka 1984 kigango kifaru mwanga,mimi nimewachagua nyinyi na nimemkuta daud mtumishi wangu,ilikua raha tu
 

Mkuu samahani kidogo, hiyo album inaitwa KARIBU TANZANIA BABA MTAKATIFU YOHANE PAULO II imeimbwa mwaka 1992 na kwaya ya SHIKWAKWA Dar es salaam nyimbo zingine ni pamoja na
WEWE NDIWE PETRO
KRISTU MSHINDA
BWANA MFALME
WATEULE WA BWANA
ROHO YANGU
N.K
 
Utukufu kwa Mungu juu- sina hakika umeandikwa na Mwarabu au J. Mgandu.

lakini huu ni wimbo ninaoukubali sana.
Pia wimbo wa Njoo roho mtakatifu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…