Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
Hivi kwanini Simba inaviongozi waislamu tu??
Hasa mwenyekiti,sijawah shuhudia mwenyekiti asiye mwislamu
naizungumzia simba kwa sababu ni mwanachama halali
sitaki kuigusia ile timu ya kina Bahanuz km nayo ni yale
We Deo zungumzia timu yako ya Azam, tuache watu na Simba yetu.
nafasi ambayo hawawezi kuliwakilisha Taifa kwenye mashindano ya kimataifa!Halafu mikia wapo nafasi ya ngapi vile!
Halafu mikia wapo nafasi ya ngapi vile!
Ya 4 na mechi 4 mbele!!!