Albadir iliyosomwa Tanga

...[HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr kumbe ...[HASHTAG]#cocochanel[/HASHTAG] ni goma lako sikujua hilo hehehe

Ova

Embu jione kwanza
Eeeeh
Leo ulimuona RC alivyotokeleza na yaliyojiri najua ulisikiliza mwanzoni hadi mwishoni

Sema oyeeeee
 
Hata mimi nilijiuliza ilikuwaje yeye kuwa record traffic wakipokea rushwa ati leo anataka akina lena wapotezwe!
1.Je umesahau ulivyoponea chupuchupu kushikishwa Rushwa na kukamatwa na pingu?
 

Nakutazama kwa hilo hilo jicho la kiroho...wewe unajua unaandika nini? Unaandika ukabila na uchama. Kulikoni kuwajaribu tena wale watu wa mitaa yenu bora tuudishe mitaa ya Pwani. Maana mambo yote mtayapeleka kwa kina chedi tu...mpaka makao makuu mtahamishia huko. Tusidanganyane...kuna mtu akitangulia mbele eti anaongoza, muogope kama ukoma...nahisi kwa jicho langu la kiroho mtu huyo ndio anayewachambua wenzake kama na yeye ni mtu swaaafi
 
Wanazarau mnoo hao miungu watu.. [emoji115] [emoji87] power ndoo kila kitu kwao... Ila damu ya Lissu ni nuksi nawambieni.. Kila aliye kuwa affiliated kutaka kum uwa.. Hakika hayuko salama kwa namna yoyote ile!!!

Just hold on!
 
Mtu akifa wala hawezi kujua kama kafa vilevile na mtu anapokuwa mpumbavu
 
Hivi bado tunaamini vitu vya kusadikika? Poor Africans. Sishangai mtu kufa kwa kupuliziwa unga sehemu za siri kwa pamp sababu ya iman za kijinga kama hizi.
Kama ingekuwa inafanya kazi waliyomsomea Trump ingeshatimiza lengo hilo
 
Jerry Murro hana tatizo lolote wewe ni mhanga wa anayosema umekuja kujifariji hapa sio kila mtu utamdanganya
 
Sina imani na mwakilishi Bungeni.
Maelezo haya ni ya kisiasa na kimhemko zaidi.
 
Waliostaarabika vitu hivi kwao havina nafasi kabisa.
Tutafika tukiwa tumechoka sana.
 
Kuna jamaa waliiba computer mpakato chuoni kwetu, zikiwa Mali za Mdigo mmoja hivi! Yule jamaa akatoa matamko ya tahadhari, watu wakapuuza kama baadhi humu. Kilichofuata, kuna vijana wa3 wakawehuka na kila watembeapo wanatoa sauti kama mf wa computer inaboot!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] miss u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…